HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Bora ya hata wakoloni kuliko wawekezaji.
Kutwa kuzungumzia history na maumivu yaliyo pita inakusaidia nini kwenye maisha
We wa wapi unazungumzia vitu vilivyopita, hio Dunia ilishapita.
Haisaidii kitu
Hata hao unaowalaumu sijui walitutesa utumwani sijui takataka gani hawapo duniani, hivi vitukuu vyao havina hata habari hio zaidi ya hadithi za kusadikika tu.Mtumwa kama wewe huwezi ukajua uendako pasipo kujua utokako,kila jambo lazima liwe na msingi wake wa kihistoria sasa nakushangaa wewe marehemu usiyetaka historia ya Mwafrika iwekwe wazi halafu unakumbatia hadithi za kihistoria za kusadikika zilizo kwenye biblia/quruan.
Je,biblia na quruan siyo histori?
We wa wapi unazungumzia vitu vilivyopita, hio Dunia ilishapita.
Haisaidii kitu
Bob Marley ni wa kumzungumzia kwa WATU wenye akili na siyo kuwazungumzia mohamad na yesuWe wa wapi unazungumzia vitu vilivyopita, hio Dunia ilishapita.
Haisaidii kitu
Hao wengine wanajulikana zaidi ya bobBob Marley ni wa kumzungumzia kwa WATU wenye akili na siyo kuwazungumzia mohamad na yesu