Mitume na manabii wa kileo ni viumbe waliojaa, ghiliba, uroho ubinafsi na uchoyo uliopitiliza

Nakazia hapa. Umenena ukweli mtupu.

Kiukweli matendo yao yanatia shaka. Hivi huwa wanawafanya nini wafuasi wao hadi hawashutukii huu mchezo wao. Ata ukikutana na mfuasi wa hao mitume/manabii ukamshauri anakuona kama pepo.
 
Hata ninyi wagañga wa kienyeji mmejaa ghiriba, uroho mbàya na ubinafsi. Mnaibia watu mamilioni na kuuà wengine mfano albino. Hakuna huduma yoyote mnatoa kama shule au hospitali kuhudumia wasiojiweza nk.
Acheni kulaumu hao manabii.
 
Tatizo lipo kwa yale makanisa yanayojiita ni ni makubwa, nadhani mnayajua, viongozi wake ni wasomi wakubwa wa kila taaluma. Huu umati unaokimbilia kwa mwamposa unatoka huko. Hayo makanisa makubwa hayana mafundisho ya kutosha kuwaweka sawa waumini wao. Wanafundishwa mafundisho manyonge yaleyale kila mara. Umati mwingine unatoka kwa wale wengine wa 'uswahilini' ambao nao hawana mafundisho murua huko wanakoabudu shida zimewajaa na tumaini hawana. Wanakimbia porojo huko wanakosali na kukimbilia abrakadabra za kina mwamposa and so alike wanakoona watatatuliwa shida zao
 
Enyi mlio amini! Hakika wengi katika makuhani na wamonaki wanakula mali za watu kwa batili na wanazuilia Njia ya Mwenyezi Mungu. Na wanao kusanya dhahabu na fedha, wala hawazitumii katika Njia ya Mwenyezi Mungu, wabashirie habari ya adhabu iliyo chungu."🔨
Hata ninyi wagañga wa kienyeji mmejaa ghiriba, uroho mbàya na ubinafsi. Mnaibia watu mamilioni na kuuà wengine mfano albino. Hakuna huduma yoyote mnatoa kama shule au hospitali kuhudumia wasiojiweza nk.
Acheni kulaumu hao manabii.
Sawa asante kwa ushauri naahidi nitauwakilisha kwenye vikao vyetu tutaujadili na kukupa mrejesho🙏🏿
 
Nyakati za mwisho hizi, mtatapeliwa sana. Ila wajinga wapo wengi.
Kisha shetani akamchukua hadi juu ya mlima mrefu akamwo nyesha kwa mara moja milki zote za dunia. 6-7 Akamwambia, “Uki piga magoti na kuniabudu, nitakupa uwezo juu ya milki zote hizi na fahari yake; maana ni zangu na ninaweza kumpa ye yote nita kaye
 
Tatizo sio Jamii .. Tatizo lipo kwa waliokasimiwa kuiongoza Jamii.. Tulikosea pakubwa tulipoipa siasa hadhi kubwa kuliko taaluma..View attachment 3176214
Kuna watu huko serikalini wako kwenye mfumo wanawalinda

Naona hapo kwenye luninga ni matangazo ya ac za mpesa halotel airtel money mix pesa nbm crdb nbc postabank mamaeee hawakuachiiii

Ova
 
Hao wala si mitume wala manabii bali majambazi na matapeli wa kawaida wanaowaliza mazwazwa na waliokata tamaa. Ni aina ya viumbe wanaoonyesha uhovyo wa nchi na watawala wake wanaowaendekeza au kuogopa kuwakataza hata kuwakamata kwa vile wote wanacheza mchezo mmoja, wizi wizi ujambazi ujambazi uchawa uchawa ad infinitum.
 
Ni kweli kabisa, Mwamposa kajenga hoteli Mbeya, halafu anamuombea muumini apate mtaji wa millioni moja. Hoteli yenyewe watu wanaingia na machangudoa kulala, mkononi wana chupa za pombe
Hapa umewaza kiukilaza. Watu wanamiliki biashara ya usafiri na wanaopanda wanapanda kwenda kugegedana mwenye usafiri anahusikaje hapo?hotel yake watu kuitumia na machangudoa inamhusu nini yeye yupo dar? Zipo madrasa watoto wamelawitiwa au kubakwa, yapo makanisa watu wamebakwa. Je mhusika ni nani? Sheikh wangu mimi nina Hotel mbili kinachoendelea huko sheikh wangu hakinihusu niliweka sheria na taratibu ambazo watu wameamua kutozifuata
 
Naona Mkesha wa Mwamposa umekimbiza Majini Yako

Chako Ni Chako 🐼
 
Na wahanga wakubwa ni kina mama, yani wamekuwa brain washed kuwaona ni miungu, wapo radhi kutoa chochote kwa kukaririshwa ni upako
MWANAMKE NDIYO KIUMBE CHENYE AKILI DUNI ZAIDI KATI YA WANADAMU .... Wanawake hawafai kupewa kazi za uongozi kwa sababu HAWANA AKILI YOYOTE YA UONGOZI ....NI UPUMBAVU NA UHALIBIFU ULIO DHAHILI KUMPA UONGOZI MWANAMKE KATIKA NGAZI YOYOTE HATA NGAZI YA FAMILIA NI KOSA KUBWA SANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…