Ukisoma historia za Dini toka enzi za Mitume na Manabii,Viongozi wote wa Dini walikuwa tofauti na selikari zao za kipindi hicho, sababu ya kuwa na Imani ya Muumba wao, wakazisimamia jamii walizokuwa wanaziongoza na wakakinai ya dunia ,yaani kutokuvithamini vitu vya dunia mali na anasa zake zote
Lakini hawa Mitume na viongozi wetu wa sasa wamekuwa machawa wa viongozi, kazi kuwasifia na kuwaabudu kila kukicha,sababu wameendekeza starehe na anasa za dunia na kukaa mbali na kazi halisi ya Mungu,
Wachache sana wanaoweza kusimama na wakaikemea serikali lakini wengi ni kusifia tu na kubariki dhulumu wanazofanyiwa waumini wao
Huku waumini nao wamegeuzwa kondoo wa kafala wasizijue haki zao ni zipi wanapelekeshwa tu kama maiti