Wazee wa mzaliwa wa kwanza na njozi😅😅😅Ukisoma historia za Dini toka enzi za Mitume na Manabii,Viongozi wote wa Dini walikuwa tofauti na selikari zao za kipindi hicho, sababu ya kuwa na Imani ya Muumba wao, wakazisimamia jamii walizokuwa wanaziongoza na wakakinai ya dunia ,yaani kutokuvithamini vitu vya dunia mali na anasa zake zote
Lakini hawa Mitume na viongozi wetu wa sasa wamekuwa machawa wa viongozi, kazi kuwasifia na kuwaabudu kila kukicha,sababu wamendekeza starehe na anasa za dunia na kukaa mbali na kazi halisi ya Mungu,
Wachache sana wanaoweza kusimama na wakaikemea serikali lakini wengi ni kusifia tu na kubariki dhulumu wanazofanyiwa waumini wao
Huku waumini nao wamegeuka kondoo wa kafala wasizijue haki zao ni zipi wanapelekeshwa tu kama maiti
WaliopindukiaManabii hawana sifa ya kukumbatia uovu, manabii wa sasa wapo kimaslahi (ni waovu) hawawezi kukumbatia uovu
Kilichomkimbiza kutoka maka kwenda madina?Uarabuni Mohammed alikuwa kiongozi wa dini na serikali
😅😅😅Zaman Watawala wakishindwa jambo wanawakimbilia Manabii.
Siku hizi Manabiii ndio wanawakimbilia Watawala.
Mtume Muhammad (S.A.W)aligombana sana na viongozi wake wa Makka ambao kila uchao walikuwa wanataka kumuwa,akaamua aende zake Madina na wafuasi waliokuwa wanamtii (Maswahaba) lakini bado walimfuata na jeshi ili kumuwa,lakini aliyashinda majeshi yao na kuanzisha selikari yake na mwisho kuludi kuja kuiteka makka na wale wote waliokuwa wanataka kumuwa wakawa chini ya himaya yakeUarabuni Mohammed alikuwa kiongozi wa dini na serikali
Mitume na manabii wanahitaji serikali Ili waishi! Serikali inawahitaji mitume na manabii Ili kuwarubuni wananchiUkisoma historia za Dini toka enzi za Mitume na Manabii,Viongozi wote wa Dini walikuwa tofauti na selikari zao za kipindi hicho, sababu ya kuwa na Imani ya Muumba wao, wakazisimamia jamii walizokuwa wanaziongoza na wakakinai ya dunia ,yaani kutokuvithamini vitu vya dunia mali na anasa zake zote
Lakini hawa Mitume na viongozi wetu wa sasa wamekuwa machawa wa viongozi, kazi kuwasifia na kuwaabudu kila kukicha,sababu wamendekeza starehe na anasa za dunia na kukaa mbali na kazi halisi ya Mungu,
Wachache sana wanaoweza kusimama na wakaikemea serikali lakini wengi ni kusifia tu na kubariki dhulumu wanazofanyiwa waumini wao
Huku waumini nao wamegeuka kondoo wa kafala wasizijue haki zao ni zipi wanapelekeshwa tu kama maiti
Soku yaja mtayona mengi ,hasa,hasa , mtakao kanyaga mafuta , vitambaa, chumvi, sabuni .Ukisoma historia za Dini toka enzi za Mitume na Manabii,Viongozi wote wa Dini walikuwa tofauti na selikari zao za kipindi hicho, sababu ya kuwa na Imani ya Muumba wao, wakazisimamia jamii walizokuwa wanaziongoza na wakakinai ya dunia ,yaani kutokuvithamini vitu vya dunia mali na anasa zake zote
Lakini hawa Mitume na viongozi wetu wa sasa wamekuwa machawa wa viongozi, kazi kuwasifia na kuwaabudu kila kukicha,sababu wamendekeza starehe na anasa za dunia na kukaa mbali na kazi halisi ya Mungu,
Wachache sana wanaoweza kusimama na wakaikemea serikali lakini wengi ni kusifia tu na kubariki dhulumu wanazofanyiwa waumini wao
Huku waumini nao wamegeuka kondoo wa kafala wasizijue haki zao ni zipi wanapelekeshwa tu kama maiti
Kwanini hawaongelei mapungufu ya katiba, Tume ya uchaguzi na sheria zake mbovu?Soku yaja mtayona mengi ,hasa,hasa , mtakao kanyaga mafuta , vitambaa, chumvi, sabuni .
Siku mkifunguliwa mtalia na kusaga meno asema Bwana
PumbavuKwanini hawaongelei mapungufu ya katiba, Tume ya uchaguzi na sheria zake mbovu?
Unaweza kumuita mwenzako mpumbavu,kumbe wewe ndiye muhusika wa hilo jinaPumbavu