Mitume na manabii wanaouza maji na mafuta watakiwa kujisajili rasmi kama watoa huduma rasmi wa sekta za maji na mafuta

Huyu
Yatamkuta yaliyomkuta kamanda
 
Asante sana na huku kwetu Tz wakora ni wengi sana makanisani wasiachwe salama walipe kodi
 
Kweli kabisa.. Nakumbuka nilitumia mafuta ya mwamposa nikapata UTI [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanapaswa kufungiwa na kufungwa kwani ni criminals kama Ruto mwenyewe
 
Na makahaba nao wasajiliwe, si wanauza nanilihiii ya katerero
Wakitaka wawasajili ni sharti waihalalishe kwanza biashara yenyewe. Kwasasa biashara ya ukahaba bado ni biashara kharam katika mataifa mengi hasa ya kiafrika. Hakuna biashara kharam iliyosajiliwa🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…