Mitume na manabii wanaouza maji na mafuta watakiwa kujisajili rasmi kama watoa huduma rasmi wa sekta za maji na mafuta

Mitume na manabii wanaouza maji na mafuta watakiwa kujisajili rasmi kama watoa huduma rasmi wa sekta za maji na mafuta

Huku kwetu wasisahau na hawa wadada wajasiriamali (wauzaji wa nanihii) waanze kulipa kodi ya serikali halafu wawe wanatoa risiti
 
TRA Tanzania, je maji ya upako huwa stika zake zinagongwa stika? Kama hazigongwi ni kwanini, wakati yanatoka kiwandani na kiwanda ni lazima Kitoe stika kwa kila chupa?
 
Kuna walw wanaouza pia chupi za upako wasisahaulike jamani
 
Niongezee kuwa hizo mamlaka lazima zihakikishe kuwa uandaaji wa maji na mafuta hayo kuwa unafaa kwa matumizi ya watu, na taratibu zote za kiafya zifuatwe
 
Back
Top Bottom