Capital G
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 3,445
- 5,336
Mkuu jumlisha na mshahara na marupurupu ya wabunge, watu wana pesa bhana.Sasa rushwa inaingia mpaka bungeni wazi wazi, Spika Tulia anaona huo ujinga nae anajaribu kuuficha, hii ni kashfa iliyolichafua bunge inayostahili Tulia ajiuzulu, Makamba mtoa rushwa nae ajiuzulu.
Akili ndogo za wabunge wasiojua nini cha kuongea sasa zinasababisha wajivue nguo wenyewe, aibu kwao, na mamlaka ya uteuzi ndio ipo kimya kama haijui kinachotokea, hii awamu taifa limepata hasara sana.