Kikwava
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 1,741
- 1,068
Syo ya serikali Ila inatumia Ruzuku ya serikaliChopa ni ya serikali??...huna akili chawa weww
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Syo ya serikali Ila inatumia Ruzuku ya serikaliChopa ni ya serikali??...huna akili chawa weww
Watainuka waende wapi kulima mahindi na maharage au kuinuka kivipi....mpo tu mnagonga hela za wanyonge za join the chain hamtaki kutoa hata hesabu🤣🤣 Mungu hataki utapeliYale mauchawi yenu ya kupumbaza Watanzania yanaendelea kumaliziwa na Mungu. Katika siku isiyokuwa na jina wa Tz watainuka!
Badala ya kujibu hoja unaruka na lingine?Mbona hamjapigania hela zenu za join the chain...mbona hamjapigania matumizi ya Ruzuku na hela alizowapaga SABODO.
Takrima vs Rushwa. Only in TZ.Leo katika uwasilishaji wa bajeti ya Wizara ya nishati na Madini Mama Salma Kikwete alimpongeza Waziri January Makamba kwa kutoa zawadi ya mitungi 100 ya gesi kwa kila Mbunge sintofahamu ikaanza pale Spika wa Bunge alipoanza kutoa ufafanuzi mwingi zaidi ya mwasilisha hoja juu ya ugawaji wa mitungi hiyo mia moja kwa kila Mbunge na zaidi alipoenda mbali zaidi kwa kusema kuwa Fedha za kuwanunulia Wabunge mitungi hiyo zimetoka katika bajeti ya mwaka jana.
My Take haya maigizo hayana faida kwa Watanzania wa hali ya chini hizo Fedha mitungu100xbeikwakilamtungi50000xidadi ya Wabunge wasiopungua300=B1.5 Tsh na Kuna vijiji hadi leo umeme haujafika bajeti ya Wizara Wabunge wanagawana tena kipindi ambacho Bunge linatakiwa kupitisha Bajeti ya Wizara husika hapa Makamba Kama Taasisi lazma akubali kubeba lawama na kashafa ya Aina yoyote.
MUNGU IBARIKI AFRIKA MUNGU IBARIKI TANZANIA 🇹🇿🤲
Naomba unijibu hilo swali ili tuendee na mjadalaBadala ya kujibu hoja unaruka na lingine?
Bil 4.5Wee ni kiazi! Mitungi 300 sawa na wabunge 300.....300 times 50,000 unapata Bilioni 1 na nusu!?!!!.....kiazi wahead!
Huu ni ukatuni.Hiyo mitungi 100 ni yakuanzia kamanda si sawa na kukosa kabisa
Bado hata hao ambao hawakupita hamna kitu,maana wengine ndio wameteuliwa ukuu wa wilaya. Mfano Babu tale mshindani wake alikua omary mgumba, huyu baada ya kukosa ubunge alipata uteuzi lakini baadae mama samia alimtengua na mlishangilia kwa kusema kweli hafai.CCM isije ikarudia tena kilichofanyika 2020 kuingiza bungeni watu wenye akili ndogo. Kuna mbunge Babu Tale naye huwa anaongea utumbo mtupu. Mbunge Shigongo pia huwa haeleweki. Kuna siku kaleta hoja kwanini UDSM wamemnyima admission ya kusoma masters kisa hana cheti cha form four? Yaani ushuzi mtupu. Uchaguzi wa 2020 ulikuwa maumivu kwa wapinzani hadi CCM kwasababu kuna majina mengi sana ya wagombea yalikatwa kibabe na kuwekwa wasio na sifa.
Hapana. CCM ina hazina ya watu wengi wenye uwezo kiuongozi. Tatizo linakuja kwenye kukata majina yakifika Dodoma kama ilivyokuwa 2020. Kumbuka Dr Slaa alikuwa mwanaCCM aliyeshinda kura za maoni wilaya ya Karatu ila jina lilivyoenda Dodoma likakatwa. Ni jambo lilitugharimu hadi leo. Upinzani ndo hauna watu kabisa wenye uwezo. Lema anayetukana Boda? Mdude Chadema?Bado hata hao ambao hawakupita hamna kitu,maana wengine ndio wameteuliwa ukuu wa wilaya. Mfano Babu tale mshindani wake alikua omary mgumba, huyu baada ya kukosa ubunge alipata uteuzi lakini baadae mama samia alimtengua na mlishangilia kwa kusema kweli hafai.
Wala tusitafute mchawi, hao waliopita ndio cream ya CCM. Ukitaka kutafuta nje ya hapo ni sawa na kwenda kutafuta bikra kwenye wodi ya wazazi
Kwa hiyo Dr slaa angekuwa kiongozi ccm angefanya vizuri? Acha utaniHapana. CCM ina hazina ya watu wengi wenye uwezo kiuongozi. Tatizo linakuja kwenye kukata majina yakifika Dodoma kama ilivyokuwa 2020. Kumbuka Dr Slaa alikuwa mwanaCCM aliyeshinda kura za maoni wilaya ya Karatu ila jina lilivyoenda Dodoma likakatwa. Ni jambo lilitugharimu hadi leo. Upinzani ndo hauna watu kabisa wenye uwezo. Lema anayetukana Boda? Mdude Chadema?
Aina Mpya Inaitwa La Kuvunda Halina UbaniSijaelewa vema ila kama ni kweli basi hii itakuwa Aina mpya ya utoaji wa Rushwa kwa Wagonga meza.
Huko CHADEMA ndo kuna viongozi wazuri?Kwa hiyo Dr slaa angekuwa kiongozi ccm angefanya vizuri? Acha utani
Hao unaowaona kila baada ya miaka mitano karibu 25% huwa ni wapya toka miaka hiyo. Hakuna jipya, sijui unasubiri miujiza gani
Unasema CCM Ina hazina ya viongozi wazuri? Kwenye nafasi za uongozi CCM si wangeonekana, kaangalie makatibu wa CCM mkoa, wilaya, na kwingine alafu niambie kama kuna kiongozi mzuri hata mmoja.
Sipo chadema, Mimi nazungumzia ccm kwa kuwa ndio chama dola na tumekiona toka tunazaliwa hadi leo. Hivyo nakataa uongo eti waliokosa ubunge wapo vizuri kuliko waliopataHuko CHADEMA ndo kuna viongozi wazuri?
Kuna sehemu nimesema waliokosa ubunge wote ni wazuri? Halafu mtu ambaye hana upande huwa daima ni MNAFIKI.Sipo chadema, Mimi nazungumzia ccm kwa kuwa ndio chama dola na tumekiona toka tunazaliwa hadi leo. Hivyo nakataa uongo eti waliokosa ubunge wapo vizuri kuliko waliopata
Leo katika uwasilishaji wa bajeti ya Wizara ya nishati na Madini Mama Salma Kikwete alimpongeza Waziri January Makamba kwa kutoa zawadi ya mitungi 100 ya gesi kwa kila Mbunge sintofahamu ikaanza pale Spika wa Bunge alipoanza kutoa ufafanuzi mwingi zaidi ya mwasilisha hoja juu ya ugawaji wa mitungi hiyo mia moja kwa kila Mbunge na zaidi alipoenda mbali zaidi kwa kusema kuwa Fedha za kuwanunulia Wabunge mitungi hiyo zimetoka katika bajeti ya mwaka jana.
My Take haya maigizo hayana faida kwa Watanzania wa hali ya chini hizo Fedha mitungu100xbeikwakilamtungi50000xidadi ya Wabunge wasiopungua300=B1.5 Tsh na Kuna vijiji hadi leo umeme haujafika bajeti ya Wizara Wabunge wanagawana tena kipindi ambacho Bunge linatakiwa kupitisha Bajeti ya Wizara husika hapa Makamba Kama Taasisi lazma akubali kubeba lawama na kashafa ya Aina yoyote.
MUNGU IBARIKI AFRIKA MUNGU IBARIKI TANZANIA 🇹🇿🤲
Inatakiwa iwe 300 X 100 X TZS. 50,000/=Wee ni kiazi! Mitungi 300 sawa na wabunge 300.....300 times 50,000 unapata Bilioni 1 na nusu!?!!!.....kiazi wahead!