Ester505
JF-Expert Member
- Jul 14, 2020
- 793
- 1,049
Hajaropoka kabisa.Alichofanya Salma NI kuutaarifu imma kwa kuwa Jambo hili lilikuwa halijulikaniLeo katika uwasilishaji wa bajeti ya Wizara ya nishati na Madini Mama Salma Kikwete alimpongeza Waziri January Makamba kwa kutoa zawadi ya mitungi 100 ya gesi kwa kila Mbunge sintofahamu ikaanza pale Spika wa Bunge alipoanza kutoa ufafanuzi mwingi zaidi ya mwasilisha hoja juu ya ugawaji wa mitungi hiyo mia moja kwa kila Mbunge na zaidi alipoenda mbali zaidi kwa kusema kuwa Fedha za kuwanunulia Wabunge mitungi hiyo zimetoka katika bajeti ya mwaka jana.
My Take haya maigizo hayana faida kwa Watanzania wa hali ya chini hizo Fedha mitungu100xbeikwakilamtungi50000xidadi ya Wabunge wasiopungua300=B1.5 Tsh na Kuna vijiji hadi leo umeme haujafika bajeti ya Wizara Wabunge wanagawana tena kipindi ambacho Bunge linatakiwa kupitisha Bajeti ya Wizara husika hapa Makamba Kama Taasisi lazma akubali kubeba lawama na kashafa ya Aina yoyote.
MUNGU IBARIKI AFRIKA MUNGU IBARIKI TANZANIA 🇹🇿🤲