Elewa wewe mbuzimaji! Kila mbunge atapewa mitungi 100 akaigawe jimboni kwake. Sasa wabunge ni 300+ zidisha Mara mitungi 100 zidisha Mara shilingi 50,000/= kwa Kila nyingi uatapata kiasi Cha fedha zilizotumika. Haya, chukua kisimu chako Cha kitochi uingie kwenye calculator ufanye hiyo homework na najua takuletea figure ambazo screen ya simu yako Haina uwezo wa kuandika yote!Wee ni kiazi! Mitungi 300 sawa na wabunge 300.....300 times 50,000 unapata Bilioni 1 na nusu!?!!!.....kiazi wahead!