Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwani leo ni tarehe 8?huyu jamaa amefika kweli? mechi si leo?
nimechanganya tarehe! tungepata update kafika wapiMkuu kwani leo ni tarehe 8?
Inawezekana mkuu. Ni maamuzi, hesabu na budget tu.Inawezekana mbona.
hahaha sijui kwanini umewaza hivyoUsiku atakuwa akipaa nyie hamjui watu wa kigoma.
Hajafika bado?Heee naona humu watu wanaweka 60km kwa siku.. hata utumie baiskeli chamoto lazima ukione. Tena mfululizo?
Mpaka leo hatujui anaendelea ama ameghairi
Imagine kupiga mguu kutoka Kigoma hadi Dar kuja kuwaona akina Nchimbi na Sarpong [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Google map wanasema ni Kigoma to Dar ni Kilometers 1238 ,kwa gari masaa 18,kwa kutembea ni siku 10.Mkazi mmoja wa mkoa wa kigoma jina kapuni ametangaza kukimbia kutoka kigoma Hadi Dar kwa miguu kuja kutazama mechi ya Simba na Yanga tarehe 8 June mwaka huu
Huu ni muujiza anataka kutuaminisha nini huyu bandugu kukimbia kilometers 1088 na miles 676 kwa mguu ndani ya siku 18 ni maajabu. Nachokiwaza hapa huyu mtua atamaintain vp hizo kilometers ndani ya siku hizo 18 ili aweze kufika Dar .Kwa kiuhalisia nadhani ni jambo amabalo haliwez kutokea nadharia. Hii hakuna kbsàa
Wana jf unamsemaje katika hili je unadhani atauweza kwa kigezo kipi labda.
View attachment 1753401View attachment 1753402
Sent using Jamii Forums mobile app
Jumatano alikuwa Morogoro anasumbuliwa na tumbo na aliahidi Ijumaa atakuwa Dar taarifa zake za mwisho kwanguHajafika bado?
hahahahahahaha wanaweweseka