Miujiza: Atangaza kukimbia kutoka Kigoma hadi Dar kwa miguu ndani ya siku 18

huyu jamaa amefika kweli? mechi si leo?
 
Heee naona humu watu wanaweka 60km kwa siku.. hata utumie baiskeli chamoto lazima ukione. Tena mfululizo?

Mpaka leo hatujui anaendelea ama ameghairi
 
Google map wanasema ni Kigoma to Dar ni Kilometers 1238 ,kwa gari masaa 18,kwa kutembea ni siku 10.

Iwapo Google inasema kweli basi jamaa kukimbia siku 18 inawezekana maana Google imeeleza kutembea na siyo kukimbia ni siku 10
 
Hivi nyie mnafanya masihara kutoka kigoma to dar, ...ndio maana alivofika gairo watu wakasema ngoja tumfuatilie ...kipande Cha gairo to Moro kafika hoi ndio the end...Kuna possibility huyu bwana alikuwa anadanganya..kama kweli kakimbia angeonyesha prove kupitia app ziko kibao hata maeneo aliyopita yenye mtandao tungemfanyia analysis ya pace au Kama simu hana tungepata prove. Nyingine . ......waulizeni nguli wa Goba runners walitoka dar Moro kwa pace 8 lakini wengine waliishia chalinze few wakamaliza wakiwa hoi bin taabani.....huyo jamaa hana prove kafanya usanii sanaaaaa kupanda maroli.
 
kafika kweli huyu jamaa mwenye update
 
Isije ikawa kafika, kumbe ni kileleni...πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…