sayoo JF-Expert Member Joined Nov 19, 2014 Posts 5,280 Reaction score 7,930 May 8, 2021 #41 Huyu mwamba kafika WAP ? Mara ya mwisho nilisikia yupo Moro , analalamika kua anaumwa tumbo, Mungu amfanyie wepesi atimize adhma yake
Huyu mwamba kafika WAP ? Mara ya mwisho nilisikia yupo Moro , analalamika kua anaumwa tumbo, Mungu amfanyie wepesi atimize adhma yake
M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 13,897 Reaction score 18,477 May 8, 2021 #42 sayoo said: Huyu mwamba kafika WAP ? Mara ya mwisho nilisikia yupo Moro , analalamika kua anaumwa tumbo, Mungu amfanyie wepesi atimize adhma yake Click to expand... Muda huu yuko ndani ya dimba la Mkapa!!!
sayoo said: Huyu mwamba kafika WAP ? Mara ya mwisho nilisikia yupo Moro , analalamika kua anaumwa tumbo, Mungu amfanyie wepesi atimize adhma yake Click to expand... Muda huu yuko ndani ya dimba la Mkapa!!!
sayoo JF-Expert Member Joined Nov 19, 2014 Posts 5,280 Reaction score 7,930 May 8, 2021 #43 mbingunikwetu said: Muda huu yuko ndani ya dimba la Mkapa!!! Click to expand... Daah huyu Jamaa atumia Sana aisee, Kama gem haitopigwa
mbingunikwetu said: Muda huu yuko ndani ya dimba la Mkapa!!! Click to expand... Daah huyu Jamaa atumia Sana aisee, Kama gem haitopigwa
Morg JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 1,301 Reaction score 1,788 May 9, 2021 Thread starter #44 GSM wamfanyie wepesi huyu shabiki kindakindaki wa Yanga maana kukimbia kuto kule alafu Yanga wamekimbia kwà mkapa
GSM wamfanyie wepesi huyu shabiki kindakindaki wa Yanga maana kukimbia kuto kule alafu Yanga wamekimbia kwà mkapa