Miujiza: Atangaza kukimbia kutoka Kigoma hadi Dar kwa miguu ndani ya siku 18

Miujiza: Atangaza kukimbia kutoka Kigoma hadi Dar kwa miguu ndani ya siku 18

Huyu mwamba kafika WAP ? Mara ya mwisho nilisikia yupo Moro , analalamika kua anaumwa tumbo,
Mungu amfanyie wepesi atimize adhma yake
 
GSM wamfanyie wepesi huyu shabiki kindakindaki wa Yanga maana kukimbia kuto kule alafu Yanga wamekimbia kwà mkapa
 
Back
Top Bottom