Miujiza ya jero ya zamani (mia tano ya noti)

Miujiza ya jero ya zamani (mia tano ya noti)

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndio waulizee ma sheikh kama hivo vitu havipo kwenye kitabu ??? Kiufupi kile kitabuu kione vile vile
Hakuna uhusiano kati ya uchawi/ushirikina /ulozi na uislamu au quran sikulaumu maana hauna elimu juu ya hii dini na mashaikh baadhi kwa sababu ya ugumu wa maisha au kutafuta unafuu wanajikuta wanaichafua dini zaidi kwa kuinasibisha na mambo yao ya ulozi QURAN imepinga na kukemea ushirikina/uchawi kwa aya nyingi sana ni kitendo cha kusoma tu.
 
Kisomo cha Ahlul Badri inapatikana wapi ??? Uislamu au kwa wenzetu wakristo ! Tukubali ukweli kitabu cha Quran ukisoma in deep na kufuata mambo mengi lazma utaonekana mchawiii [emoji174]
Nioneshe kwenye Qur'an nzima kisomo icho cha Albadiri au Al bajoto na kikikuwemo natoa 10k on the spot sisemi uongo
 
- Wakuu leo katika pita pita zangu nimepita sehem mmoja hivi kariako mtaa wa sikukuu ! hapo Nilikutana na wanaa basi tukapiga piga stori mbili tatu na nisemee wazii nimepataa vituu adimu sana.

- Kwanza nimegundua kuwa ule msemo wa Adui mkubwa wa umasikini ni Elimu ni kweli kabisaa na hii ni kwasababu ya kukosaa maarifa.

- Niseme wazii huku mtaani hali ni ngumu hasa kwa sisi tunaotegemea kutoka. ukapambane ili maisha yaendee.

- Huku mtaani umachingaa umekuwa sio dili sana kipindi hiki , mara kukimbizanaa na migambo mara TRA na mikodii yao na ukiangalia kwa kina hawa wajomba wanachukua karibia nusu ya asilimia kwenye faidaa kupitia migongo ya Tozoo ambazo kimsingi ni za hovyo kwani zinaliwaa na viongozii wetu kipindii hichii cha skukuuu!

Sasaiv bei za maisha zimepandaa, japo tunatofautiana kuna wengine saiv kidogo milango imefunguka maana pale " bandarini mloo " sasa inapatikana kiuwepesii kulinganisha na alivokuwa mwamba kabla hajadondokaa futii sita!

- Hali hii imechangiwa na viongozii wetu kuminya mzunguko wa hela na kuenda kujenga miradi ambayo kiukweli inahitaji hela kiasi kidogo ila kupitia mgongo wa "kutengeneza kitu Bora " ndo tunasikia miradii ya ajabu kama daraja kujengwa kwa bilioni wakati ukiona machoni ipo kiwango cha milioni isiyozidii 50.

Hapa nilipo tayari nimesharudii nyumbani na nimemwambia waifu atulie kuna mchongoo nausikilizia ! Nimesikia ukiwa na jero ya notii unafanya haya.View attachment 2460956

- Unaenda njia panda unachuchumaa unaokota nyao za wapita njia alafu unatia kwenye noti yako alafu unapiga dua ndani ya dakika 3 unapokea sms kuwa umepokea millioni 25 NMB,CRDB bank ikionesha hela imetoka NSSF mafao.

- Au unaenda kwa vyumba vya wahaya na noti yako mfuko wa shati unavolipia mchezo unajifanya umeangusha hiyo noti kitandani basi hela zote atakazopata kwa kukazwa mnagawana pasu kwa pasu yaani chuma uletee.

- Au unaenda usiku stendi kuu ya magufuli palee unatoa jero yako ya noti na unaguzishaa kwenye tairii ya gari ! Hapo ni mawili basi hilo likipata ajali unapokea million 20 kama ajali haijatokea basi rushwa zotee atakazopokea matraffic kwenye hilo basi unapata asilimia 60%

- Au unapanda boda boda alafu unamuomba helmet uvae akikupaa unachukua hiyo helmet unaweka jero yako na unavaa ! Huyo boda boda hamalizii mwezi tayari ashavuja damu ww huku account inasoma milioni 2.

- Au unachukua hiyo noti ya jero unaenda nayo kwa ma sheikh wanapiga dua unaenda kuizindikaa karibia na biashara yako au unaenda kuizindika sokoni basi hapo utakuwa unapata asilimia 3 ya faida kwa kila atakaefanya biashara hapo sokoni.

Masharti ni kusoma aya flani kwenye koran yenye nguvu za ziada na usilee nyamaa zaidi ya samaki kwa siku 7 na usikae sehemu yenye mahubirii ya bibilia, mkekaa utachanikaa.

Hivyo nipo hapaa na kitabu cha koran nasikia hakuna kitu ambacho hakipo kwanzia miujiza mpaka na uchawi wenyewe upo hapa.

Sasa nasubiri midaa ifikee nijaribu mbinu hizii.
View attachment 2460951
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Fanya kazi kijana,achana na illusions.
 
Wewe unalako jambo na imani za watu.
Eti usikae karibu na mahubiri ya biblia! Unafq tu unatuaminisha nini hapo.
 
Back
Top Bottom