Ajali zinazotokea Mara kwa Mara Zikihusisha Njia za treni, Wengi wanatupia lawama wahanga lakini tunaacha kuongelea miundombinu ya njia ya Treni.
Tukiangalia nchi za wenzetu wanawekaga Taa au geti, pale ambapo treni inapita basi vitu hivyo vinakupa ishara ya tahadhari, tukijaKwetu hapa bongo Tunaweza alama tu ambayo haisemi treni inapita ila anakuonesha tu kuna njia ya treni, nyakati za usiku inaleta hatari kubwa kwa watumiaji wa barabara zilizokatiza njia ya treni
Hizo barriers/vizuizi vilikuwepo miaka ya nyuma, barabara zikifungwa kupisha treni baadhi ya maeneo mfano ni pale Isaka palikuwepo hadi kibanda mtu anakuwa hapo full time.
Ni negligence tu za shirika kisa hawawajibiki kwa hizi ajali.