AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Kwa hio mkoa Mdogo ila Mji mkubwa?Mji wa Tabora sio mkubwa kuliko Mwanza
Wewe umetaja list ya mikoa mikubwa. Mkoa unahusisha miji, majiji, vijiji, vitongoji, mapori na kila kitu
Kwa mfano licha ya Dar kuwa mkoa mdogo sana ila ndio mji mkubwa zaidi East Africa. (Eneo la mjini pekee lina cover 1500km²)
Mji wa pili kwa ukubwa Tanzania ni Mwanza. Mkoa wa Mwanza una 25000km² lakini mji wa Mwanza una 500km² ambayo inakaribia Nairobi kwa ukubwa, Nairobi City ina 650km²
Kwa hiyo tofautisha kati ya mikoa na miji
Lindi ni mkoa mkubwa kuliko Dar, lakini Dar ni mji mkubwa kuliko Lindi town (sise and population)
Wewe nenda kaendelee kula kimba lako ulilokunya jana usipimane akili na mimiWewe Sidhani kama una akili timamu!
WEWE SIDHANI KAMA UNA AKILI TIMAMU!Wewe nenda kaendelee kula kimba lako ulilokunya jana usipimane akili na mimi
Yale makimba yako ya jana uliyamaliza au hukuyamaliza?WEWE SIDHANI KAMA UNA AKILI TIMAMU!
Ndio, mkoa mdogo lakini zaidi ya asilimia 95% ya mkoa huo ni mjiKwa hio mkoa Mdogo ila Mji mkubwa?
Wewe si ndiye uliniambia ulikuwa unakula Kimba a.k.a Mdudu au Akili zishahamia Matokoni mwako now Umesahau!Yale makimba yako ya jana uliyamaliza au hukuyamaliza?
Tatizo mojawapo ni mgawanyo wa kodi inapokusanywa, halmashauri zinaachiwa asilimia 2-3, nyingine zote zinaenda hazina, unakuta miji inasubiri huruma ya mafisadi ya serikali Dar kujenga hata choo cha stendi, nafikiri pesa nyingi ziachwe zinapokusanywa kufanya maendeleo kama barabaraKama hatutakubali kuweka Serikali ya Majimbo, Hali itaendelea kua Ngumu sana na kutaendekea kua na Mpishano wa maendeleo kati ya Mkoa na mkoa
Japo bado lakini tumejitahidi,ukitembea humu afrika ndio utajuaKusema kweli Tanzania tuna safari ndefu kwenye miundombinu
Tanzania ukiachana na main roads, barabara nyingi bado ni za vumbi especially mitaani wanakokaa watu. Hata miji mikubwa kama Mwanza na Mbeya, barabara ni changamoto. Mji unaokua kwa kasi Kahama bado uko nyuma kwenye barabara. Dar yenyewe ina mitaa mingi ya barabara vumbi, kuna maeneo mengi hatapitiki nyakati za mvua. Ikifika kiangazi barabara zinajaa mchanga. Tuna safari ndefu sana
Reli ziko chache mno, usafiri wa treni bado uko nyuma, nadhani tuna reli nne tu na tatu ni MGR bado. Ya kati, Tazara na ya Kaskazini. Halafu treni za MGR zenyewe zimechakaa sana, zipp kama treni za 1900s
Hii SGR ni hatua nzuri, natarajia tutaongeza treni nyingine miaka ya usoni, kama tuko serious
Tanzania barabara zetu zimejaa michanga, mitaro mingi iko open matokeo yake watu wanatupia taka humo ndani. Ukijumlisha na mchanga unaoingia mitaroni, unakuta hadi mitaro inaota nyasi.
Na hapo barabara zina mashimo kibao
Drainage system nayo ni very poor. Msimu wa mvua ukifika ni mafuriko kuanzia Dar, Mwanza, Arusha, Morogoro yani Tanzania nzima
Hakuna pavements kwenye business districts nyingi, ni mchanga tu ndio maana michanga inajaa barabarani na kuziba mitaro
Neighborhood za Tanzania nyingi zina completely ZERO infrastructure. Yani unakuta tu ni ardhi na nyumba za watu basi, hakuna lami, hajuna pavements, hakuna drainage system za maana, hata zilizopo zimeachwa tu wazi, hazifunikwi, uggh
Mpaka leo miji kama Dodoma, Dar, Arusha na Mwanza haina metro licha ya kuwa na wakazi laki 6 hadi mamilioni 😏
Miji mingi Tanzania ni michafu. Hakuna dustbin mitaani, watu wanatupa tu taka hovyo, yani hii nchi imejaa takataka za plastiki everywhere. Mazingira machafu ndio maana kuna kipindipindu cha mara kwa mara kama cha Mbeya kilivyofyeka watu 2024/2025 kwa miezi 5 mfululizo
Neighborhood za Tanzania hazina streetlights, usiku barabara ni giza tu
Our development is slow na tuna zero commitment kwenye kuendeleza miundombinu kwenye makazi ya watu.
Kila siku unasikia uchumi unakua na bado mitaani barabara za vumbi, mitaro imejengwa tu kienyeji na ipo open, mitaa michafu, hakuna street lights....
Hapo ni mjini tu, ukiingia vijijini ndio kabisa utakata tamaa
Miundombinu Tanzania bado sana. Moja ya vitu vinafanya Watanzania kuwaza kukimbilia nchi za watu ni pamoja na miundombinu mibovu ambayo hakuna anayejali.
Especially miundombinu inayohusu makazi ya wananchi.
Achana na hiyo inayoenda kujengwa maporini huko
Hapa sasa tumewekana sawa ila Mwanza nimefika Shinyanga nimefika Tabora nimefika Lindi nimetembea Ruvuma nimetembea, kuna mengine sitaki kuyasema hapa kwa mtu ambae hajatembea atahisi labda unaongea kitu fulani hivi cha tofauti ila maeneo yote yanafanana kiasi chakeNdio, mkoa mdogo lakini zaidi ya asilimia 95% ya mkoa huo ni mji
Sasa Lindi ni mkoa mkubwa lakini sehemu kubwa ya Lindi ni mapori, na miji midogo, kiasi kwamba hata Lindi mjini ambao ndio mji mkubwa zaidi mkoani Lindi ni mdogo kuliko mji/jiji la Dar
Chukua mfano huu, kutoka Mbagala hadi Tegeta ni km 35 lakini bado ni ndani ya jiji la Dar, ila Lindi mjini ukiendesha gari hizo kilometers unakuwa umeshatoka nje ya Lindi town kitambo, unakuwa uko maporini
Kabla ya hapo wewe si ulisema alikua unakula makimba au umeshasahau?Wewe si ndiye uliniambia ulikuwa unakula Kimba a.k.a Mdudu au Akili zishahamia Matokoni mwako now Umesahau!
Hii ya serikali ya majimbo imekaa vyemaKama hatutakubali kuweka Serikali ya Majimbo, Hali itaendelea kua Ngumu sana na kutaendekea kua na Mpishano wa maendeleo kati ya Mkoa na mkoa
Sasa inabidi tujifunze kutoka kwa Morocco, Egypt, Tunisia, South Africa nk, nchi ambazo zimetuacha kimaendeleo, tufikirie ku catch upJapo bado lakini tumejitahidi,ukitembea humu afrika ndio utajua
Umefika Zimbabwe au kuiona Harare online 😁Sasa inabidi tujifunze kutoka kwa Morocco, Egypt, Tunisia, South Africa nk, nchi ambazo zimetuacha kimaendeleo, tufikirie ku catch up
Sio kuangalia nchi kama Zimbabwe, Burundi, Magagascar, sijui Somalia nchi ambazo tumeshaziacha tayari. Probably because ni wazembe kuliko sisi, ila haimaanishi sisi hatuzembei
Sijafika ZimbabweUmefika Zimbabwe au kuiona Harare online 😁
Dar is a slum compared na Harare, walipata shida kidogo hapo nyuma lakini they are back nowSijafika Zimbabwe
Harare naiona online. Pia sidhani kama Zimbabwe ni nchi ambayo imezidi Tanzania kimaendeleo
While they have beautiful cities like Bulawayo and Harare maybe the reason miji yao ina good infrastructure ni kwamba ilijengwa na wakoloni, na sikuhizi miji hiyo haikui kwa kasi ukifananisha na miji ya Tanzania
Mfano Harare, inaonekana imekuwa vile kwa miaka mingi, tofauti na Tanzania ambayo inabadilika constantly
Mimi natamani Tanzania ifike level za Morocco au South Africa, sio Zimbabwe
Kuna miundombinu ya Zimbabwe unatamani ingekuwepo Tanzania?
Dar is not a slum compared to Harare. You are exaggeratingDar is a slum compared na Harare, walipata shida kidogo hapo nyuma lakini they are back now