fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Zimbabwe tumewaacha mbali sanaSijafika Zimbabwe
Harare naiona online. Pia sidhani kama Zimbabwe ni nchi ambayo imezidi Tanzania kimaendeleo
While they have beautiful cities like Bulawayo and Harare maybe the reason miji yao ina good infrastructure ni kwamba ilijengwa na wakoloni, na sikuhizi miji hiyo haikui kwa kasi ukifananisha na miji ya Tanzania
Mfano Harare, inaonekana imekuwa vile kwa miaka mingi, tofauti na Tanzania ambayo inabadilika constantly
Mimi natamani Tanzania ifike level za Morocco au South Africa, sio Zimbabwe
Kuna miundombinu ya Zimbabwe unatamani ingekuwepo Tanzania?
Hii ya serikali ya majimbo imekaa vyema
Sio kwa nchi ambazo zina majimbo tangu zamani, bali kwa nchi ambayo itahamia kwenye majimbo hivi karibuni
Watu wengi wanataka Tanzania iendelee, wakigawa kwenye majimbo itakaa poa sana, majimbo yawe yana compete kwa infrastructure na jimbo linalosuasua, kiongozi anatumbuliwa haraka, anawekwa aliye serious
Mwanza ni Jiji kama ilivyo Dar es salaamTop 10 ya mikoa mikubwa au miji mikubwa Mwanza haipo
1. Tabora
2. Morogoro
3. Rukwa
4. Mbeya
5. Lindi
6. Ruvuma
7. Kigoma
8. Singida
9. Shinyanga
10. Dodoma
Nionyeshee Mwanza hapo
Viongozi wa Majimbo wanachakuliwa na Wananchi, Hawana Hofu ya kutumbukiwa isipokua kutokuchaguliwa ikiwa hawajafanya vzuri.
Pia, Asilimia kubwa ya kodi inabaki kwenye jimbo husika kurahisisha utoaji wa huduma. Sio kama saivi matundu ya choo shule za Kigoma yanajadiliwa bungeni dodoma ndo hela itoke