Miungu mitatu yenye nguvu

Miungu mitatu yenye nguvu

Nasikitika mleta mada hajaelewa maana ya mungu..ple sana
 
Bujibuji nilikuwa sikujui kumbe ngosha ulipotamka walwa, na nyoo
 
Nasikitika mleta mada hajaelewa maana ya mungu..ple sana
Mungu muumba jina lake linaandikwa kwa herufi M kubwa. miungu Na tumiungu tudogo (miungu ni wingi, umoja ni mungu) alitojufanyia mwanadamu tunaandikwa kwa herufi ndogo.
kumbukumbu la torati : Mlango 5

7 Usiwe na miungu mingine ila mimi.
 
Kwa ufikiri huo kila kitu mtu akipendacho kitakua mungu.
Chochote anachokipenda zaidi kuliko umpendavyo Mungu Basi automatically kinageuka Na kuwa mungu wako. Ibrahim alimpenda sana mwanawe Isaac hata upendo ule ulizidi jinsi alivyompenda Mungu, ndipo Mungu akamwambia Ibrahim amchinje mwanaye kwasababu Mungu aliona Ibrahim alimpenda zaidi mwanaye kuliko anavyompenda Mungu. Tukisema Aya ya tano utaona Mungu amesema yeye ni Mungu mwenye wivu
Kutoka Mlango 20

1 Mungu akanena maneno haya yote akasema,
2 Mimi ni BWANA, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
3 Usiwe na miungu mingine ila mimi.
4 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
5 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
6 nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
 
Hii sio kweli, Wasukuma sio wachawi, bali wanauchukia mno uchawi mpaka mtu akituhumiwa tuu kwa uchawi, huuliwa. Kesi ya Mauji Mwanza na Shinyanga, ni uthibitisho wa chuki ya Wasukuma dhidi ya vitendo vya uchawi.

Tabia mbaya za Wasukuma, ungesema

1. kupenda wanawake weupe matokeo yake wanapenda zaidi ya mwanamke mmoja.

2. Kuwa na moyo wa upendo kupindukia, matokeo yake mioyo yao inakudondokea, hawaoni, hawasikii.

3. Wana roho nzuri kuvuka mipaka, matokeo yake ni watu wa kutumia, mwaga offa na kuhonga sana, hivyo kupata maendeleo kidogo.

4. Wanapenda sana lile somo kupindukia, matokeo yake, wewe kama ni mwanamke, ameolewa na Msukuma chapa ng'ombe, 'rigwaride rinaweza kumshinda'.

5. Wanawake wa Kisukuma, hawana wivu, hali inaopelekea kuwaachia waume zao kujivinjari watakavyo.

6. Wanapenda kufurahi sana, matokeo yake hupenda sana starehe, kujirusha, na kilaji

7. Hawajali, ni ma don't care, matokeo yake wakilewa lazima waimbe, wakiimba lazima wapige kelele ambazo hugeuka bugudha kwa wenzao.

Mazuri yao.

Ni kabila linaloongoza kwa watu wenye roho nzuri Tanzania, wanaume wanaaongoza kwa kupenda, wanajua kuoa tuu, kuacha hawajui labda waachwe wao, na wanawake wanaaoongoza kwa uvumilivu, kushindia maji, kulala njaa na huku hawana wivu, Wasukuma wanaongoza!

Paskali a.k.a Pascal Mayalla
Niyo guku!!! Uko sawasawa ngosha
 
Wanyantuzu kama Nyani Ngabu, @beira baby boy na Pascal Mayalla wanajifariji tu. Utajiri wa Usukumani unaliwa na watu wa nje
 
Mkuu hapo ni miungu au Mungu,,yaan unathubutu kulitaja hili jina kimasihala hivi , Mungu uke duuuu noma sana
Tofautisha Mungu na mungu! Mbona jamaa kaandika mungu uke?
 
Yesu fukuza mashetani haya yanayoitwa miungu
 
Mkuu bujibuji no1 kuna ukweli kwa %nyingi. Sisi wachagga hapo ndio petu.
 
Hii sio kweli, Wasukuma sio wachawi, bali wanauchukia mno uchawi mpaka mtu akituhumiwa tuu kwa uchawi, huuliwa. Kesi ya Mauji Mwanza na Shinyanga, ni uthibitisho wa chuki ya Wasukuma dhidi ya vitendo vya uchawi.

Tabia mbaya za Wasukuma, ungesema

1. kupenda wanawake weupe matokeo yake wanapenda zaidi ya mwanamke mmoja.

2. Kuwa na moyo wa upendo kupindukia, matokeo yake mioyo yao inakudondokea, hawaoni, hawasikii.

3. Wana roho nzuri kuvuka mipaka, matokeo yake ni watu wa kutumia, mwaga offa na kuhonga sana, hivyo kupata maendeleo kidogo.

4. Wanapenda sana lile somo kupindukia, matokeo yake, wewe kama ni mwanamke, ameolewa na Msukuma chapa ng'ombe, 'rigwaride rinaweza kumshinda'.

5. Wanawake wa Kisukuma, hawana wivu, hali inaopelekea kuwaachia waume zao kujivinjari watakavyo.

6. Wanapenda kufurahi sana, matokeo yake hupenda sana starehe, kujirusha, na kilaji

7. Hawajali, ni ma don't care, matokeo yake wakilewa lazima waimbe, wakiimba lazima wapige kelele ambazo hugeuka bugudha kwa wenzao.

Mazuri yao.

Ni kabila linaloongoza kwa watu wenye roho nzuri Tanzania, wanaume wanaaongoza kwa kupenda, wanajua kuoa tuu, kuacha hawajui labda waachwe wao, na wanawake wanaaoongoza kwa uvumilivu, kushindia maji, kulala njaa na huku hawana wivu, Wasukuma wanaongoza!

Paskali a.k.a Pascal Mayalla
Kwa kweli hawajali. Fikiria unamwona rafiki yako Ngosha kafungwa pingu na anasindikizwa na askari. Ukimuuliza "vipi Ngosha?“, jibu lake ni "doho tabhu, doho shida".
 
Sebha walwa
Sebha nyoo

kinehe usebha mabholo na madouma? Ateho umwene?
 
Back
Top Bottom