Miungu yetu ilishindwa, Mizimu yetu ikapigwa, Sasa tumekuwa Jamii iliyoanguka na hatuna Tumaini la kusimama

Unafaa uelewe ile ilikuwa ni adhabu kutoka na wao kuulizwa kuwa yesu hana kosa lolote la kumhukumu wakamwambia pilato damu ya yesu isiyo na atia iwe juu yao na watoto wao lakin siyo mara ya Kwanza kutiwa mikononi mwa adui zao, kuna vipind vya babeli, miaka 70, jangwan walifungwa Mika 40, lakin akishakaa upande wao usijichamganye
 
Hapa umesema waafrika ni wajinga kazi kukesha makanisani
Swali langu wewe mwenye akili umevumbua nini mpaka sasa
 
Unafaa uelewe ile ilikuwa ni adhabu kutoka na wao kuulizwa kuwa yesu hana kosa lolote la kumhukumu
Unaweza kuthibitisha ilikuwa ni adhabu na ulete sehemu ya andiko inayo thibitisha hili?
wakamwambia pilato damu ya yesu isiyo na atia iwe juu yao na watoto wao lakin siyo mara ya Kwanza kutiwa mikononi mwa adui zao, kuna vipind vya babeli, miaka 70, jangwan walifungwa Mika 40, lakin akishakaa upande wao usijichamganye
 
Tulikubali bila kuhoji kuandika Mungu wetu kwa silabi ndogo "mungu " na wa kwao kwa herufi kubwa "Mungu ". Ni hapo tulimdharau Mungu wetu wa Kiafrika na kutukuza Mungu wao wa Israel.
 

Ina maana ilikuwa Miungu bandia. Ilikuwa fake. Ilikuwa haina misimamo wala nguvu za kuleta matuaini. Ila sasa, hatuja kombolewa kifrika
 
Ni wapi nimesema wamevumbua kitu
We ndo umewaita wajinga namimi nikakuuliza we mwenye akili umefanya nini
Kuna uhusiano gani wa kuvumbua kitu au kutokuvumbua kitu na uwepo wa Mungu?

Nawaita wajinga kwa sababu hawawezi kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu na huyo Mungu mwenyewe hawezi kujitetea mwenyewe na kujidhihirisha yupo mpaka atetewe.
 
Kuna uhusiano gani wa kuvumbua kitu au kutokuvumbua kitu na uwepo wa Mungu?

Nawaita wajinga kwa sababu hawawezi kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu na huyo Mungu mwenyewe hawezi kujitetea mwenyewe na kujidhihirisha yupo mpaka atetewe.
Wewe mwenye akili ambaye huamini kwenye Mungu umevumbua nini au umefanya nini cha maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…