Miungu yetu ilishindwa, Mizimu yetu ikapigwa, Sasa tumekuwa Jamii iliyoanguka na hatuna Tumaini la kusimama

Unaweza kuthibitisha ilikuwa ni adhabu na ulete sehemu ya andiko inayo thibitisha hili?
We Kwanza unatakiwa uelewe Ivo then saiv tuko kwenye phase ya wayauhud kurud Kwao na bible prophecy inatuambia hawatangolewa tena kwahiyo izo mbwembwe za sijui Iran,sijui houthis ni mbwembwe tu
 

Mkuu unashangaa mzungu mmoja kuwapelekesha waafrika wa 4 kisa ana Gobole??

Mkuu mbona shuleni kwenu mwalimu 1 alikuwa anawatandika darasa zima kisa ana kafimbo ka1 tu??

Mbona Rais mmoja anatupelekesha waTz milioni 60 na hatuna cha kumfanya!!

Mbona alitaka kukodisha bandari na hatukuwa na cha kumfanya??
 
We Kwanza unatakiwa uelewe Ivo then saiv tuko kwenye phase ya wayauhud kurud Kwao na bible prophecy inatuambia hawatangolewa tena kwahiyo izo mbwembwe za sijui Iran,sijui houthis ni mbwembwe tu
Mimi nikiandika baada ya miaka kumi nitarudi tanzania na kila mtu akasoma humu na kuamini ,baada ya hyo miaka kumi nikafanya mchakato wa kurudi kumbe natimiza unabii sio?
 
Ungekuwa Proud kuwa muafrika usingekuwa na sababu ya kuchanganya na kizungu.
Lakini ujumbe umeupata.

Jambo la kuzingatiwa hapo ni ukweli uliobebwa na ujumbe huo kijana, bila ya kujali lugha niliyotumia.
Ieleweke hisia za kujivunia Uafrika wangu inavuka mipaka ya lugha.

Hukujibu maswali yangu!

Again I'm proud to be an African and there is absolutely nothing you can do about it
 
Usaliti ulikuwepo na Leo Upo,ukijaribu kuitetea na ukiwa na hoja utauwawa hata wewe.Shida adui alianza kuandaa silaha za kifo ndia akaanza kuiua MIUNGU.Kumbuka MIUNGU hukaa miilini kwa wateule.Wameshaiinamisha na hawatakubali kuiruhusu Ila asili itaiinua japo kwa kuchelewa sana.Shida tunamtumia shetani kumpiga vita shetani.HOJA YANGU.
 
SAFI,ILA MIMI HUTUMIA NENO ASILI.
 
Mimi nikiandika baada ya miaka kumi nitarudi tanzania na kila mtu akasoma humu na kuamini ,baada ya hyo miaka kumi nikafanya mchakato wa kurudi kumbe natimiza unabii sio?
Kuna tofau ya mtu aliyeondoka kurud na kizaz chake cha tano au cha sita kurud sasa chukulia kizazi kimoja ni miaka 100, sasa nazan umeelewa tofaut ya prophecy na safar
 
Kuna tofau ya mtu aliyeondoka kurud na kizaz chake cha tano au cha sita kurud sasa chukulia kizazi kimoja ni miaka 100, sasa nazan umeelewa tofaut ya prophecy na safar
Kuna vitu bado hauvijui kuhusu dini yako na hicho kitabu ,chimba zaidi.
 

Mimi nilikuwa najaribu kukukumbusha tuu kuwa moja ya dalili ya mtu anayejivunia uafrika wake ni pamoja na kutotumia mara kwa mara lugha za kigeni hasa maeneo ambayo yupo na waafrika wenzake.
 
Umesema kulingana na historia unayoijua juu ya mwafrica au Africa lakn nakushaur endelea kutafuta maarifa zaid juu ya asili hasa na historia ya mwafrica ndipo utagundua ulichosema kwamba mwafrika ni jamii Jinga kuliko zote dunia si kwel bal wengi wetu tumekuwa brainwashed na hao jamaa baada ya kufuta historia halis ya mwafrika......kwa taarifa tu fupi ni kuwa mwafrika ndio asili ya uumbaji wa binaadam, then akamtengeneza mzungu aliyekuja kumgeuka na kuwa mtesi wake.......jifunze kujifunza ujinga utakuacha....
 
Kwa hyo sasa ivi mnakijua mnachokiabudu ebu niambie kinafananaje?
Nilichogundua ni kuwa wengi wetu tumekuwa brainwashed kias kwamba hata uwezo wa kutafakar na kufkr nje ya box inakuwa ngum sanA......wengi wetu hawako tayar kuendelea kuchimba zaid kuhusu hiz din na iman tulizoletewa, upi ukwel na zipo story.....iman nin na dini nn!!...kip muhim ktk ya hv ........jua pia historia halis ya mwafrika (sehem kubwa imefichwa mnoo) na iman tulizokuwa nazo na namna zilivyofanya kaz. ....
 
Perfect
 
Waafrika tubuni kwa dhati kwa wahenga wetu. Mmeacha tamaduni zenu na kufuata za Kiyahudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…