min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Tumevumbua kwamba hakuna Mungu ni blabla tu .Sijavumbua kitu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumevumbua kwamba hakuna Mungu ni blabla tu .Sijavumbua kitu.
We Kwanza unatakiwa uelewe Ivo then saiv tuko kwenye phase ya wayauhud kurud Kwao na bible prophecy inatuambia hawatangolewa tena kwahiyo izo mbwembwe za sijui Iran,sijui houthis ni mbwembwe tuUnaweza kuthibitisha ilikuwa ni adhabu na ulete sehemu ya andiko inayo thibitisha hili?
Nimependa huu uzi, lakini nina mtazamo na Imani tofauti nawewe
Ulipaswa kusema Imani katika miungu yetu ikishindwa, kwasababu hakuna miungu yeyote ya Kizungu wala kiafrika iliyowahi kuwepo kiuhalisia wala kufanya kazi...isipokuwa tu watu ndio walikuwa na Imani hizo ambazo hazipo
Waafrika tulizidiwa Kiakili, Kimbinu na Kiteknolojia
Kama kungekuwa na miungu ifanyayo kazi japo kidogo tu basi isingewezekana Mwafrika kuteswa kwa ku overwork, kutobolewa miguu na kuvalishwa minyororo, Kunyongwa na kuhasiwa
Aidha, isingewezekana Wanaume shababy wa kiafrika wanne au sita kumbeba mkoloni mmoja kutoka Arusha au Mzizima mpaka Tanga na Same kwenye mashamba ya mikonge kisa ana gobole moja tu kibindoni
MASWALI TAFAKURI:
- Kwanini Waafrika hatukujitahidi kwa kutumia akili na maarifa kugundua silaha kama gobole au risasi kuuwa wakoloni watesao ilihali tulikuwa na wafua chuma wengi wa kutosha huko Ugweno, Engaruka, Meroe, Axum na kwingineko? Jibu ni kuwa tulikuwa Wajinga
- Kwanini hatukuwa na UMOJA ilihali ndio Nguvu? Wao walikuwa wachache sana kuliko sisi tena walituma tu wawakilishi wao wakiwa Ulaya, kwanini walitushinda? Jibu ni kuwa tulikuwa wajinga
Huwa nasema kuwa Watu weusi ni jamii Dhaifu kiakili na kimaarifa kuliko jamii zozote katika dunia hii
So, napinga kuwa tulizidiwa kiimani ya kimiungu, Ukweli ni kuwa tulizidiwa kimbinu, kimaarifa na kiteknolojia kama ilivyo hata leo hii.
Mimi nikiandika baada ya miaka kumi nitarudi tanzania na kila mtu akasoma humu na kuamini ,baada ya hyo miaka kumi nikafanya mchakato wa kurudi kumbe natimiza unabii sio?We Kwanza unatakiwa uelewe Ivo then saiv tuko kwenye phase ya wayauhud kurud Kwao na bible prophecy inatuambia hawatangolewa tena kwahiyo izo mbwembwe za sijui Iran,sijui houthis ni mbwembwe tu
Lakini ujumbe umeupata.Ungekuwa Proud kuwa muafrika usingekuwa na sababu ya kuchanganya na kizungu.
Usaliti ulikuwepo na Leo Upo,ukijaribu kuitetea na ukiwa na hoja utauwawa hata wewe.Shida adui alianza kuandaa silaha za kifo ndia akaanza kuiua MIUNGU.Kumbuka MIUNGU hukaa miilini kwa wateule.Wameshaiinamisha na hawatakubali kuiruhusu Ila asili itaiinua japo kwa kuchelewa sana.Shida tunamtumia shetani kumpiga vita shetani.HOJA YANGU.Hili ndio swali la msingi.
Tufanyeje?
Hatujui miungu yetu ipo wapi? Imetekwa au iliuawa! Hakuna ajuaye. Kama ilitekwa ikakombolewe. 😀😀 Na itakuwa "vita ya kukomboa miungu yetu"
Kama iliuawa basi ndio hivyo tena tutakuwa watoto Yatima siku zote. Huwezi kuomba mungu wa kigeni akakupa kuliko atakavyompa mwanae. Huwezi kuomba Allah akakupa zaisi kuliko muarabu. Na wala huwezi kumwomba Yehova akakupa kuliko Myahudi.
Mungu Mkuu muumba wa miungu kumfikia nako sio lelemama. Ndio maana ikawepo miungu.
SAFI,ILA MIMI HUTUMIA NENO ASILI.Asante kwa tafakari nzuri.
Ninachokiona hapo ni utata tu kuhusu uelewa kuhusu Mungu. Kimsingi napendelea sana matumizi ya neno MUUMBA kwasababu halileti utata sana kiuelewa. Chukulia Mungu kama sehemu ndogo tu ya uelewa wa Kundi fulani dogo kwenye kundi kubwa la watu kuhusu nguvu ya asili iliyopelekea uwepo wa Kila kitu na MUUMBA kama ukamilifu unaotokana na kujumuisha 'uelewa' hizo ndogondogo kuhusu hiyo nguvu iliyopelekea uwepo wa Kila kitu.
Kwahiyo, kwa dhana ya Mungu utapata sehemu ndogo sana ya hiyo nguvu wakati kwa dhana ya MUUMBA utapata ukamilifu wake.
Aliwahi kusema Credo Mutwa kwamba watu walipojaribu kumuelewa MUUMBA waligundua ni nguvu ambayo haitoshi kwenye vichwa vyao na hivyo wakaamua kuivunjavunja maana yake ili tu waweze kuwa na uelewa fulani. Kutoka hapo ndipo unakuta kuna miungu mingi lakini MUUMBA daima ni mmoja. Lakini pia unakuta Kila Mungu anapewa sofa ya uumbaji. Mimi hupenda sana neno MUUMBA kwasababu hata kimantiki iko wazo kabisa kwamba MUUMBA anatenda kitendo cha KUUMBA na matokeo ya kitendo hicho ndipo tunapata VIUMBE. Unaona huo mtiririko ulivyokaa kimantiki?
Sasa inapotokea watu wamegawanyika katika makundi mengi na Kila kundi lina Mungu wake na watu hao wanaamini katika hiyo miungu yao kama ndiyo yenye nguvu kuliko Mungu wa wengine na wakafikia hatua ya kuhisi wako tofauti kabisa na wenzao ndipo shida ya kutoshirikiana inapotokea. Hapa unakuta Afrika kama eneo lenye makabila mengi na Kila kabila lina Mungu wake na linajiona tofauti na kabila jongine. Wakati huo unakuta Watu hao wageni wakiwa wachache na wameungana chini ya Mungu mmoja hivyo kihalisia wanakuwa na nguvu kubwa.
Sasa ujio wa miungu hiyo ya kigeni haikukabiliana na umoja wa kiafrika ila makundi ya makabila. Wageni walitambua mapema mgawanyiko huo niliofafanua hapo juu na hivyo wakauchochea na kusababisha machafuko na mgawanyiko zaidi baina ya waafrika wa kabila Moja na jengine. Matokeo yake waliweza kuushinda kirahisi kabila Moja baada ya jengine na hata sasa tupo kwenye hali hiyo.
Nini tufanye kama Waafrika?
Kwanza tuungane chini ya uelewa mmoja wa MUUMBA. Tujue kwa hakika ni jinsi gani MUUMBA wetu huyo aliumba ulimwengu huu na kusudi alilotupatia kama Waafrika maana Kila kiumbe kinaumbwa kwa kusudi maalum. Kisha tujue Sheria za asili na tuijue vema familia yetu ya kiafrika kuanzia mababu zetu na jinsi walivyokabiliana na mazingira na hatari za mazingira na hatimaye tujue mahusiano yetu na mazingira na mahusiano baina yetu kama watu.
Mpaka hapo tutaweza kupambana kama wamoja na sio kama makabila au makundi.
Na mimi niishie hapa kwa sasa.
Kuna tofau ya mtu aliyeondoka kurud na kizaz chake cha tano au cha sita kurud sasa chukulia kizazi kimoja ni miaka 100, sasa nazan umeelewa tofaut ya prophecy na safarMimi nikiandika baada ya miaka kumi nitarudi tanzania na kila mtu akasoma humu na kuamini ,baada ya hyo miaka kumi nikafanya mchakato wa kurudi kumbe natimiza unabii sio?
Kuna vitu bado hauvijui kuhusu dini yako na hicho kitabu ,chimba zaidi.Kuna tofau ya mtu aliyeondoka kurud na kizaz chake cha tano au cha sita kurud sasa chukulia kizazi kimoja ni miaka 100, sasa nazan umeelewa tofaut ya prophecy na safar
Lakini ujumbe umeupata.
Jambo la kuzingatiwa hapo ni ukweli uliobebwa na ujumbe huo kijana, bila ya kujali lugha niliyotumia.
Ieleweke hisia za kujivunia Uafrika wangu inavuka mipaka ya lugha.
Hukujibu maswali yangu!
Again I'm proud to be an African and there is absolutely nothing you can do about it
Safi dogo, sometimes huwa unawaza nje ya box
Jibu liko wazi kavumbua Mungu yule ni wa uongo.Wewe mwenye akili ambaye huamini kwenye Mungu umevumbua nini au umefanya nini cha maana
Umesema kulingana na historia unayoijua juu ya mwafrica au Africa lakn nakushaur endelea kutafuta maarifa zaid juu ya asili hasa na historia ya mwafrica ndipo utagundua ulichosema kwamba mwafrika ni jamii Jinga kuliko zote dunia si kwel bal wengi wetu tumekuwa brainwashed na hao jamaa baada ya kufuta historia halis ya mwafrika......kwa taarifa tu fupi ni kuwa mwafrika ndio asili ya uumbaji wa binaadam, then akamtengeneza mzungu aliyekuja kumgeuka na kuwa mtesi wake.......jifunze kujifunza ujinga utakuacha....Nimependa huu uzi, lakini nina mtazamo na Imani tofauti nawewe
Ulipaswa kusema Imani katika miungu yetu ikishindwa, kwasababu hakuna miungu yeyote ya Kizungu wala kiafrika iliyowahi kuwepo kiuhalisia wala kufanya kazi...isipokuwa tu watu ndio walikuwa na Imani hizo ambazo hazipo
Waafrika tulizidiwa Kiakili, Kimbinu na Kiteknolojia
Kama kungekuwa na miungu ifanyayo kazi japo kidogo tu basi isingewezekana Mwafrika kuteswa kwa ku overwork, kutobolewa miguu na kuvalishwa minyororo, Kunyongwa na kuhasiwa
Aidha, isingewezekana Wanaume shababy wa kiafrika wanne au sita kumbeba mkoloni mmoja kutoka Arusha au Mzizima mpaka Tanga na Same kwenye mashamba ya mikonge kisa ana gobole moja tu kibindoni
MASWALI TAFAKURI:
- Kwanini Waafrika hatukujitahidi kwa kutumia akili na maarifa kugundua silaha kama gobole au risasi kuuwa wakoloni watesao ilihali tulikuwa na wafua chuma wengi wa kutosha huko Ugweno, Engaruka, Meroe, Axum na kwingineko? Jibu ni kuwa tulikuwa Wajinga
- Kwanini hatukuwa na UMOJA ilihali ndio Nguvu? Wao walikuwa wachache sana kuliko sisi tena walituma tu wawakilishi wao wakiwa Ulaya, kwanini walitushinda? Jibu ni kuwa tulikuwa wajinga
Huwa nasema kuwa Watu weusi ni jamii Dhaifu kiakili na kimaarifa kuliko jamii zozote katika dunia hii
So, napinga kuwa tulizidiwa kiimani ya kimiungu, Ukweli ni kuwa tulizidiwa kimbinu, kimaarifa na kiteknolojia kama ilivyo hata leo hii.
Nilichogundua ni kuwa wengi wetu tumekuwa brainwashed kias kwamba hata uwezo wa kutafakar na kufkr nje ya box inakuwa ngum sanA......wengi wetu hawako tayar kuendelea kuchimba zaid kuhusu hiz din na iman tulizoletewa, upi ukwel na zipo story.....iman nin na dini nn!!...kip muhim ktk ya hv ........jua pia historia halis ya mwafrika (sehem kubwa imefichwa mnoo) na iman tulizokuwa nazo na namna zilivyofanya kaz. ....Kwa hyo sasa ivi mnakijua mnachokiabudu ebu niambie kinafananaje?
PerfectAsili ya Akili au wazo ni utata mkubwa.
Huwezi kuwa na akili bila nguvu isiyoonekana (miungu) mawazo huwezi kuyadhibiti au kuyazalisha.
Ni kama chembe ya uhai.
Miungu au Mungu ndio hukupa wazo(akili) na kuiweka katika ubongo wako. Kinachobaki ni juu yako.
Miungu na Mungu ndio hutoa mambo yasiyo onekana katika mwili. Kama uhai na Akili.