INAUZWA Miwani maalum kwa ajili ya kuzuia mionzi mikali itokanayo na KOMPYUTA, SIMU pamoja na TV

Duuh kwa hyo jamaa katufanyia punguzo la 450,000
 
Ninachotaka ni faida ndogo niweze kukuza biashara yangu zaidi na zaidi, kwa mlimani city lazima utatajiwa hiyo bei, kodi anayolipia pale ni kubwa.
 
Miwani hii ni maalum kwa watumiaji wakubwa wa Kompyuta, Simu pamoja na TV.

Epuka kichwa kuuma, macho kuuma, macho kutoa machozi na kuweka ukungu kwa kutumia miwani hii maalum ambayo ni Photochromic ina uwezo wa kubadilika rangi kuwa nyeusi pale unapopigwa na jua, ina uwezo pia wa kuzuia mwanga mkali wa jua.

Kwa msaada zaidi piga 0659358599

Mbona Anti blue light zipo hadi 25k au hiyo unayouza ina ubora zaidi?
 
Mbona Anti blue light zipo hadi 25k au hiyo unayouza ina ubora zaidi?
Ina vitu vya ziada, hii ni Photochromic ina uwezo wa kuzuia hadi mwanga wa jua kali kwa kubadilika rangi na kuwa nyeusi pale tu unapopigwa na mwanga mkali.
 
Ina vitu vya ziada, hii ni Photochromic ina uwezo wa kuzuia hadi mwanga wa jua kali kwa kubadilika rangi na kuwa nyeusi pale tu unapopigwa na mwanga mkali.
Yeah hiyo ipo naona baadhi ya maeneo inapatikana hadi kwa 35k
 
Hapana viongozi nilirelax wakati najibu hilo swali nikijua ataniletea ushahidi kuwa kuna sehemu amepata kwa rahisi, na mimi nilimtega kusudi wala sikuwa nimepaniki.
Jibu liko dhahiri kuwa ulipaniki. Mjasiriamali lazima ujue kudeal na wateja tofauti tofauti.
 
Miwani hii ni maalum kwa watumiaji wakubwa wa Kompyuta, Simu pamoja na TV.

Epuka kichwa kuuma, macho kuuma, macho kutoa machozi na kuweka ukungu kwa kutumia miwani hii maalum ambayo ni Photochromic ina uwezo wa kubadilika rangi kuwa nyeusi pale unapopigwa na jua, ina uwezo pia wa kuzuia mwanga mkali wa jua.

Kwa msaada zaidi piga 0659358599
 
𝑳𝒆𝒏𝒔 𝒛𝒂 π’‰π’Šπ’šπ’ π’Žπ’Šπ’˜π’‚π’π’Š π’π’Š π’‘π’π’‚π’”π’•π’Šπ’„ 𝒂𝒖 π’Œπ’Šπ’π’ (π’ˆπ’π’‚π’”π’”)

𝑱𝒆 π’Œπ’‚π’ƒπ’π’‚ π’šπ’‚ π’Œπ’–π’π’–π’π’–π’‚ π’‰π’Šπ’šπ’ π’Žπ’Šπ’˜π’‚π’π’Š π’Œπ’–π’π’‚ 𝒉𝒂𝒋𝒂 π’šπ’‚ π’Œπ’–π’‘π’Šπ’Žπ’‚ π’Žπ’‚π’„π’‰π’?
 
mbarika,

Si uende kwa huyo anayeuza rahisi mkuu kwani nimekushika miguu kuwa lazima ununue kwangu?
Mkuu mbona kama una hasira za haraka?!
Au biashara mbaya? Vumilia mkuu hali ni mbaya kote hata mimi muuza majeneza biashara sio nzuri kabisa msimu huu!
 
je nikija na tochi ya mwanga wa blue itazuia usitokee au usipitilize.....kwa sababu kinachoumiza macho ni blue rays hasa kwenye vifaa vya bei nafuu vya kichina.....simu na tv
 
je nikija na tochi ya mwanga wa blue itazuia usitokee au usipitilize.....kwa sababu kinachoumiza macho ni blue rays hasa kwenye vifaa vya bei nafuu vya kichina.....simu na tv
Inazuia nakuhakikishia, ndio miwani ambayo naitumia hata ofisini kwangu. Ni ya uhakika sana.
 
Mkuu mbona kama una hasira za haraka?!
Au biashara mbaya? Vumilia mkuu hali ni mbaya kote hata mimi muuza majeneza biashara sio nzuri kabisa msimu huu!
Hapana mkuu, sijawahi kuwa na hasira niko sawa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…