INAUZWA Miwani maalum kwa ajili ya kuzuia mionzi mikali itokanayo na KOMPYUTA, SIMU pamoja na TV

INAUZWA Miwani maalum kwa ajili ya kuzuia mionzi mikali itokanayo na KOMPYUTA, SIMU pamoja na TV

Juzi nilipita pale mlimani city kuna duka moja lipo karibu na mlango wa kutokea mkono wa kulia nikawaonesha hizi picha wakaniambia fremu pamoja na lens yake ni laki 5 cash...

Sasa boss naomba unieleze why wale jamaa pale mlimani wauze ghali tofouti na wewe ama zina utofouti? Maana nilimuonesha picha zako hizi hizi...
Duuh kwa hyo jamaa katufanyia punguzo la 450,000
 
Juzi nilipita pale mlimani city kuna duka moja lipo karibu na mlango wa kutokea mkono wa kulia nikawaonesha hizi picha wakaniambia fremu pamoja na lens yake ni laki 5 cash...

Sasa boss naomba unieleze why wale jamaa pale mlimani wauze ghali tofouti na wewe ama zina utofouti? Maana nilimuonesha picha zako hizi hizi...

Ninachotaka ni faida ndogo niweze kukuza biashara yangu zaidi na zaidi, kwa mlimani city lazima utatajiwa hiyo bei, kodi anayolipia pale ni kubwa.
 
Miwani hii ni maalum kwa watumiaji wakubwa wa Kompyuta, Simu pamoja na TV.

Epuka kichwa kuuma, macho kuuma, macho kutoa machozi na kuweka ukungu kwa kutumia miwani hii maalum ambayo ni Photochromic ina uwezo wa kubadilika rangi kuwa nyeusi pale unapopigwa na jua, ina uwezo pia wa kuzuia mwanga mkali wa jua.

Kwa msaada zaidi piga 0659358599

upload-productImg-1619165071871.jpeg
 
Mbona Anti blue light zipo hadi 25k au hiyo unayouza ina ubora zaidi?
 
Mbona Anti blue light zipo hadi 25k au hiyo unayouza ina ubora zaidi?
Ina vitu vya ziada, hii ni Photochromic ina uwezo wa kuzuia hadi mwanga wa jua kali kwa kubadilika rangi na kuwa nyeusi pale tu unapopigwa na mwanga mkali.
 
Ina vitu vya ziada, hii ni Photochromic ina uwezo wa kuzuia hadi mwanga wa jua kali kwa kubadilika rangi na kuwa nyeusi pale tu unapopigwa na mwanga mkali.
Yeah hiyo ipo naona baadhi ya maeneo inapatikana hadi kwa 35k
 
Hapana viongozi nilirelax wakati najibu hilo swali nikijua ataniletea ushahidi kuwa kuna sehemu amepata kwa rahisi, na mimi nilimtega kusudi wala sikuwa nimepaniki.
Jibu liko dhahiri kuwa ulipaniki. Mjasiriamali lazima ujue kudeal na wateja tofauti tofauti.
 
Miwani hii ni maalum kwa watumiaji wakubwa wa Kompyuta, Simu pamoja na TV.

Epuka kichwa kuuma, macho kuuma, macho kutoa machozi na kuweka ukungu kwa kutumia miwani hii maalum ambayo ni Photochromic ina uwezo wa kubadilika rangi kuwa nyeusi pale unapopigwa na jua, ina uwezo pia wa kuzuia mwanga mkali wa jua.

Kwa msaada zaidi piga 0659358599
 
𝑳𝒆𝒏𝒔 𝒛𝒂 𝒉𝒊𝒚𝒐 𝒎𝒊𝒘𝒂𝒏𝒊 𝒏𝒊 𝒑𝒍𝒂𝒔𝒕𝒊𝒄 𝒂𝒖 𝒌𝒊𝒐𝒐 (𝒈𝒍𝒂𝒔𝒔)

𝑱𝒆 𝒌𝒂𝒃𝒍𝒂 𝒚𝒂 𝒌𝒖𝒏𝒖𝒏𝒖𝒂 𝒉𝒊𝒚𝒐 𝒎𝒊𝒘𝒂𝒏𝒊 𝒌𝒖𝒏𝒂 𝒉𝒂𝒋𝒂 𝒚𝒂 𝒌𝒖𝒑𝒊𝒎𝒂 𝒎𝒂𝒄𝒉𝒐?
 
mbarika,

Si uende kwa huyo anayeuza rahisi mkuu kwani nimekushika miguu kuwa lazima ununue kwangu?
Mkuu mbona kama una hasira za haraka?!
Au biashara mbaya? Vumilia mkuu hali ni mbaya kote hata mimi muuza majeneza biashara sio nzuri kabisa msimu huu!
 
NOTE: Hizi ni goggles hazina lenzi na hazina athari yoyote na macho
______________________
  • Miwani hii ni maalum kwa ajili ya kuzuia mionzi mikali itokanayo na KOMPYUTA, SIMU pamoja na TV.
  • Kama wewe ni muathirika wa tatizo hili utaona dalili mbaya kama zifuatazo:
  • Kichwa kuuma chenyewe, macho kutoa machozi, macho kuuma kila unapotumia KOMPYUTA, SIMU au TV.
  • Ukiona dalili hizo jua unaathiriwa na mionzi mikali ya kompyuta.
_______________________
Napatikana: DAR ES SALAAM, duka lipo Kinondoni Studio
________________________

BEI: Tshs. 50,000

Tuwasiliane: 0659-358-599
_______________________
MIKOANI tunatuma kwa njia salama na ya uhakika ya magari, haujawahi kupotea mzigo wa mtu katika mikono yetu.
Mikoani tunatuma kwa njia salama ya magari.

je nikija na tochi ya mwanga wa blue itazuia usitokee au usipitilize.....kwa sababu kinachoumiza macho ni blue rays hasa kwenye vifaa vya bei nafuu vya kichina.....simu na tv
 
je nikija na tochi ya mwanga wa blue itazuia usitokee au usipitilize.....kwa sababu kinachoumiza macho ni blue rays hasa kwenye vifaa vya bei nafuu vya kichina.....simu na tv
Inazuia nakuhakikishia, ndio miwani ambayo naitumia hata ofisini kwangu. Ni ya uhakika sana.
 
Mkuu mbona kama una hasira za haraka?!
Au biashara mbaya? Vumilia mkuu hali ni mbaya kote hata mimi muuza majeneza biashara sio nzuri kabisa msimu huu!
Hapana mkuu, sijawahi kuwa na hasira niko sawa kabisa.
 
Back
Top Bottom