safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Duuh kwa hyo jamaa katufanyia punguzo la 450,000Juzi nilipita pale mlimani city kuna duka moja lipo karibu na mlango wa kutokea mkono wa kulia nikawaonesha hizi picha wakaniambia fremu pamoja na lens yake ni laki 5 cash...
Sasa boss naomba unieleze why wale jamaa pale mlimani wauze ghali tofouti na wewe ama zina utofouti? Maana nilimuonesha picha zako hizi hizi...