wivuA shanty multi billion infrastructure, when evaluate the real thing and the actual money used is like heaven and hell, of course it's going to nowhere πππππ machakani π’
We have nothing to take a serious note from this scam thank you.
RUN!! they're coming after you..Hakuna jipya la kujifunza hapa. Hiyo ni kwa local imports unaongelea. Sasa Nairobi hakuna bandari. Dar kama business city kuna bandari. Mzigo unashuka melini usiku, asubuhi una clear unapeleka ghalani. Halafu mko lazy sana, local import mnapewa Siku 21 ndio mzigo unaenda bonded customs? Huku ni Siku 14 tu mkuu... Tanzania ni mlango wa nchi nyingi kuliko Kenya.
Thanks to sgr Mombasa is now so so near Nairobi than ever..Tumetoka mbaliSerikali tukufu la jamhuri ya Kenya imetangaza kuwa mizigo inayokwenda Nairobi haitakanyaga ardhi ya Mombasa. Mizigo ya Nairobi itakuwa inapakiwa kwenye train na kufika Nairobi hiyo hiyo siku. Hii ni tofauti na hapo awali ambapo mizigo inayokwenda Nairobi ilikuwa inashushwa Mombasa na kukaa hapo kwa siku tatu. Sasa mizigo inafika Mombasa leo asubuhi na jioni ishafika Nairobi. Hakuna kupoteza muda kwa port. LDC mjifunze kitu hapo
Hahahaha, maana ya "White elephant project", huijui au unapotosha kwa makusudi ili kujipa MOYO baada ya kugundua kwamba wachina wamewaingiza machakani.Serikali tukufu la jamhuri ya Kenya imetangaza kuwa mizigo inayokwenda Nairobi haitakanyaga ardhi ya Mombasa. Mizigo ya Nairobi itakuwa inapakiwa kwenye train na kufika Nairobi hiyo hiyo siku. Hii ni tofauti na hapo awali ambapo mizigo inayokwenda Nairobi ilikuwa inashushwa Mombasa na kukaa hapo kwa siku tatu. Sasa mizigo inafika Mombasa leo asubuhi na jioni ishafika Nairobi. Hakuna kupoteza muda kwa port. LDC mjifunze kitu hapo
A shanty multi billion infrastructure, when evaluate the real thing and the actual money used is like heaven and hell, of course it's going to nowhere [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] machakani [emoji22]
We have nothing to take a serious note from this scam thank you.
Hahahaha, maana ya "White elephant project", huijui au unapotosha kwa makusudi ili kujipa MOYO baada ya kugundua kwamba wachina wamewaingiza machakani.
Kwa ufupi SGR yenu hakuna mfanyabiashara anayetaka kuitumia kutokana na gharama kubwa za usafirishaji ukilinganisha na usafiri wa barabara. Serikali ya Kenya inalazimisha wafanyabiashara kuitumia kwa lazima, WFP wameamua kuikimbia Mombasa port na kutumia Dar kusafirisha mizigo kwenda Kampala na South Sudan kwa sababu hiyo hiyo.
Wateja watakao baki kutumia Mombasa port ni wale Wateja wa ndani ambao watakuwa hawana " alternative". Ona Wateja wakubwa kama hawa hawataki kutumia "white elephant" lenu.
Tea companies give SGR wide berth over high transport costs
Tea firms have now opted to use road in transporting millions of kilos of tea.www.businessdailyafrica.com
Your dreaming? Perhaps mchukue UG kwa Wanyankole not Tanzania we have everything na vingine nyinyi hamnaSafi sana, yaani hapa tunachukua hata Tanzania kaskazini na kanda ya ziwa.
Tunaenda hivihivi ni follow niku unfollowHko kwenu vp...usafiri unaanza november, mabehewa yatawasili december[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
The project is on it's deathbed ndio maana you use dictatorial approach to save the already failed conwivu
The project is on it's deathbed ndio maana you use dictatorial approach to save the already failed conwivu
Kenya does not have free trade, why are you forcing people to use SGR while they don't want to? π π π π Hii con itawapeleka the HagueMkishamaliza ku order vichwa na mabeha njooni tuwapigie hesabu tuone mlivyopigwa na mturuki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
No one is been forced to use Sgr get you facts right.The project is on it's deathbed ndio maana you use dictatorial approach to save the already failed con
Kenya does not have free trade, why are you forcing people to use SGR while they don't want to? π π π π Hii con itawapeleka the Hague