Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Serikali tukufu la jamhuri ya Kenya imetangaza kuwa mizigo inayokwenda Nairobi haitakanyaga ardhi ya Mombasa. Mizigo ya Nairobi itakuwa inapakiwa kwenye train na kufika Nairobi hiyo hiyo siku. Hii ni tofauti na hapo awali ambapo mizigo inayokwenda Nairobi ilikuwa inashushwa Mombasa na kukaa hapo kwa siku tatu. Sasa mizigo inafika Mombasa leo asubuhi na jioni ishafika Nairobi. Hakuna kupoteza muda kwa port. LDC mjifunze kitu hapo