Mixed Education System: Upi ni wakati sahihi wa kumsomesha mtoto katika Private School kwa mzazi wa kipato cha chini?

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Dodoma kimepita bila kupingwa katika vijiji, mitaa na vitongoji 3,905 kati ya 4,032 vilivyopo sawa na asilimia 96.85.
 
Hivi imekaaje mtoto anasoma private hadi form 4 anaenda government form 5 & 6 akiomba mkopo ananyimwa?
 
Primary nilisoma private - riverside ipo mbeya

secondary nlisoma private - pandahill ipo mbeya

Form 5 na 6 nikasoma private ya chama cha wazazi - Sangu ipo mbeya

Chuo nikasoma chuo cha uhasibu arusha cha serikali - I.A.A

Englisha ilinibeba tangu primary nlisoma bila kukariri, Na kwa kweli kulikuwa kuna watu waliosoma kwa kukariri walifaulu kuzidi mimi ila ukiwaambia wakuelekeze unagundua wamekariri tu.

Yote kwq yote kama pesa ipo peleka mtoto private sema ziwe ngangari kidogo zisiwe za kulea watoto kama mayai
 
Jambo la kwanza la msingi ni mtoto kujua kiingereza mkuu.

Hakikisha anajua kiingereza kwa kila hali kabla hajafika sekondari.

Sekondari sio sehemu ya kujua kiingereza,sekondari ni sehemu unayotakiwa uchambue mambo yaani ukifika sekondari logically inatakiwa kiingereza iwe tayari ni lugha yako tokea zamani sana.

Sasa wazazi wengi wanadharau hili,mtoto anaenda shule anakariri tu ukimuuliza swali la kawaida tu ambalo anatakiwa atumie concept ya topic fulani basi anaona maneno mageni anakosa swali.

Mfano kuna mtihani uliulizwa wa biology,kwamba familia ilihama kutoka mikoa ya baridi kwenda mikoa ya joto kali,ilipofika mikoa ya joto kali ikawa inakojoa kidogo sana ile familia.

Wakaona ni ugonjwa bwana wakaenda kwa dokta,je sababu ya wao kukojoa kidogo kwenye mikoa ya joto kali ni ipi ?

Sasa hapa mwanafunzi kama anakariri tu ataangukia pua,hawezi kujibu hili swali katu kwa sababu shida ya kukariri usitolewe swali nje ya vile ulivyo kariri.

Mzazi ahakikishe mwanae anaongea kiingereza na kukiandika na kuelewa kabla hajafika hata darasa la sita au la saba hivi.

Kwa sababu kwa mujibu wa utafiti nilioifanya mdogo ni kuwa vichwa wa darasani wanakuwa wanajua kiingereza na wanaelewa wanachosoma.

Japokuwa kiingereza pekee hakikufanyi uwe moja kwa moja unaongoza masomo.

Yaani kiingereza na juhudi na motivation iwepo pia pamoja na kumuambia mtoto achague anataka kuwa nani kwa mujibu wa anavyosoma.
 
Hivi imekaaje mtoto anasoma private hadi form 4 anaenda government form 5 & 6 akiomba mkopo ananyimwa?
Rais Magufuli ameweka rekodi ya kupeleka umeme kila kijiji Tanzania Hii haijawahi kutokea kwa Africa Ahsante Magufuli kwa kuwatumikia Watanzania.
 
Mimi msimamo wangu siku zote elimu ya msingi ifundishwe kwa Kiingereza ili kuwe na coordination ya lugha na levels zingine za elimu. So ushauri wangu elimu ya msingi mtoto asome private.
 
Umemaliza mkuu🤝
 
Sekondari sio sehemu ya kujua kiingereza,sekondari ni sehemu unayotakiwa uchambue mambo yaani ukifika sekondari logically inatakiwa kiingereza iwe tayari ni lugha yako tokea zamani sana.
Naaam boss...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…