Mixer Za Konyagi

duh na maziwa haikatiki kweli?

mkuu konyagi na maziwa fresh ndo mahali pake! inakuwa kama amarula flan hivi, jaribu hutaacha. lakini kwa kilevi murua zaidi changanyia na zanzi"
 
mkuu konyagi na maziwa fresh ndo mahali pake! inakuwa kama amarula flan hivi, jaribu hutaacha. lakini kwa kilevi murua zaidi changanyia na zanzi"

mh nutajaribu mie nahs itakatika
 
Kaka hiyo inapigwa kavu huku ukichanganya na slice za Limao, Pilipili mbuzi na vipande vya barafu
Pilipili kwenye konyagi? Tutauana jamani [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hizi recipes zenu ziwe za kweli wengine tunafanya majaribio kikweli kweli ati
 
Pilipili kwenye konyagi? Tutauana jamani [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hizi recipes zenu ziwe za kweli wengine tunafanya majaribio kikweli kweli ati

hahahahahahahah hyo kali
 
Duh kumbe tuna wanakemia wazuri tu Ila hawajijui
 
Siku moja nimemix Konyagi na St.Anna afu nikafuta zote,kulichofata hapo ilikua ni mwendo wa mbili mbele nane nyuma
 
Bia hazinyweki tena, tutarudia yale ya ndani ya mapipa, lakini tutaboresha, kila mtu na kikombe chake sio kuchangia kama zamani
 
hahahaha
 
Konyagi mixer gongo mixer banana[emoji39] [emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…