G.25
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 1,737
- 1,891
duh na maziwa haikatiki kweli?
mkuu konyagi na maziwa fresh ndo mahali pake! inakuwa kama amarula flan hivi, jaribu hutaacha. lakini kwa kilevi murua zaidi changanyia na zanzi"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh na maziwa haikatiki kweli?
mkuu konyagi na maziwa fresh ndo mahali pake! inakuwa kama amarula flan hivi, jaribu hutaacha. lakini kwa kilevi murua zaidi changanyia na zanzi"
Pilipili kwenye konyagi? Tutauana jamani [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kaka hiyo inapigwa kavu huku ukichanganya na slice za Limao, Pilipili mbuzi na vipande vya barafu
Pilipili kwenye konyagi? Tutauana jamani [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hizi recipes zenu ziwe za kweli wengine tunafanya majaribio kikweli kweli ati
Wanataka kutuua hawa. Shoga kajaribu unipe mrejeshohahahahahahahah hyo kali
Wanataka kutuua hawa. Shoga kajaribu unipe mrejesho
Duh kumbe tuna wanakemia wazuri tu Ila hawajijui
Bia hazinyweki tena, tutarudia yale ya ndani ya mapipa, lakini tutaboresha, kila mtu na kikombe chake sio kuchangia kama zamani
Hahaha....unanikumbusha jamaa alivuta bangi ikamkolea,alivokuwa amekaa pale kwenye kochi..ananiambia "yaan naiona chuga yote hapa down,yaani anaitazama kwa chini alafu anajiona yey ndio mkuu wa mkoa"...nicheka sana koz he was damn serios..[emoji3][emoji3]Nime Mix Na Dompo Naona Dunia Yote Yangu Hapa
Hahaha....unanikumbusha jamaa alivuta bangi ikamkolea,alivokuwa amekaa pale kwenye kochi..ananiambia "yaan naiona chuga yote hapa down,yaani anaitazama kwa chini alafu anajiona yey ndio mkuu wa mkoa"...nicheka sana koz he was damn serios..[emoji3][emoji3]
Pilipili kwenye konyagi? Tutauana jamani [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hizi recipes zenu ziwe za kweli wengine tunafanya majaribio kikweli kweli ati
hahahahahahahah hyo kali
teh teh wknd nitajaribu aic!
Usiweke mapilipili ya kufa mtu, Kiasi tu, utaenjoy mpaka basi, jaribuni wakuu
hahaha haya
Nitafute tupige jibapa, nikufundishe hiyo cocktail, NB pilipili iwe mbuzi tafadhari
hahahhaahahaha nitakutafta mkuu noinje nyagi