Intricate JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 403 Reaction score 1,255 Apr 10, 2025 #1 Mixx by Yas kuna tatizo gani? Mbona miamala aitoki
Mtemi mpambalioto JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 4,006 Reaction score 9,542 Apr 10, 2025 #2 ushasema mix halafu by ass
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 18,180 Reaction score 22,280 Apr 10, 2025 #3 Piga 100 KAZI ni kipimo cha utu
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 33,225 Reaction score 83,181 Apr 10, 2025 #4 Wanazingua mno
Maleven JF-Expert Member Joined Sep 8, 2019 Posts 783 Reaction score 3,666 Apr 10, 2025 #5 ikifika saa moja jioni jiepushe sana kutuma pesa kutoka TIgo wenda mitandao mengine. tangu wawe yas wanazingua, utatafta usumbufu tu
ikifika saa moja jioni jiepushe sana kutuma pesa kutoka TIgo wenda mitandao mengine. tangu wawe yas wanazingua, utatafta usumbufu tu