Pre GE2025 Mizengo Pinda anaweza kumsaidia vyema Sana Rais Samia Umakamu Mwenyekiti

Pre GE2025 Mizengo Pinda anaweza kumsaidia vyema Sana Rais Samia Umakamu Mwenyekiti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kiongozi mbona tumependekeza jina lako halafu Kama unatukataa vile
Nashukuruuu sana ndugu yangu kwa kujipendekeza.ni jambo jema sana na heshima kubwa kwangu hata kama umeandika kwa utani lakini Nashukuruuu sana.Maana humu tupo wengi lakini umenipa heshima hiyo mimi.asante sana .
 
Shida kubwa nchi hii ni haya majitu majinga manafiki yanjiita machawa siku watu wakiwa wakweli wakaacha upuuzi wa uchawa hii nchi ina watu wa kuiongoza wengi
 
Samia ameelemewa na vijana fulani kwenye chama.hivyo anatakiwa kuwa na mwenyekiti na katibu ambao ni wakali wenye kaliba za akina makonda.ila wasiwe na makundi au upendeleo wa wazi kwenye chama.
 
Katiba yenu..HAISTAAFISHI ?. tengeneza DAMU Mpya...KABUDI anatosha msomi mwenye macho makubwa..muongo kiasi na chawa kiasi Ila msomi mjanja mjanja
 
Hapa watu wa kumsaidia hawatakiwi Tena kuwa tishio !

Katibu mkuu ndo uwa kila kitu ndani ya CCM hawa Wengine nje ya mwenyekiti ni mashati tu

Britanicca
Na kwa maoni yangu naona Mheshimiwa Mizengo Pinda atafaa sana kumsaidia Mama. Au unasemaje britanicca? Naomba maoni na mawazo yako.
 
Back
Top Bottom