Pre GE2025 Mizengo Pinda anaweza kumsaidia vyema Sana Rais Samia Umakamu Mwenyekiti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)


Naona sasa topic zangu mnazirudia kama zetu haina shida toweni credit tu


 
Mimi huwa naandika zangu na siyo kukopi za mtu.
 
Mleta mada kwani nini wewe unajiona hufai kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM?
 
Kumbe Kinana alikuwa hafai?

Koma na ukome kabisa Kwa tabia hizo mbaya za kusifusifu
 
mama yangu zimekuwa nyingi sana Kiasi Amiri Jeshi anahisi jambo
 
Hata wewe unatosha kwenye hiyo nafasi.
 
No,Mizengo siafiki kwa sasa,pale panahitaji mtu tough kidogo,kule kwenye chama kuna watu wana guvu sana na ndio wanamyumbisha mama,sasa kama akimuweka Mizengo kuna hatari wakamburuza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…