Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huyu Mzee ni miongoni mwa viongozi niliowaheshimu sana , hasa ule uwezo wake wa kujibu maswali alipokuwa TAMISEMI , lakini sasa naanza kudhani labda ile heshima nilimpa kimakosa , maana sasa ameamua mwenyewe kutukwaza wote tuliomheshimu.
Anazurula kwenye mikoa na majimbo kuhangaikia ccm huku akifahamu ukandamizaji mkubwa wa demokrasia na haki za kidemokrasia , anafahamu kwamba kuna katazo la kinyama la kuzuia wanasiasa wa upinzani majukwaani , anafahamu kwamba yeye mwenyewe hana jimbo lakini anashiriki uchafuzi wa akina Humphrey Polepole huku akiiweka kando heshima yake kwa jamii , je amelogwa ?
Nikuambie tu mzee wangu Pinda umeamua kuwachokoza wananchi , sasa wakiamua kujibu mapigo usimlilie mtu , endelea na mipango yako