Mnakosea kujiita WAPINZANI. Ni vyama vyote wanapinga inategemea unaongelea nini.Ukiwa SISIEMU hata mkutano Posta Mpya unaruhusiwa kufanya ila kama ukiwa mpinzani hata ukifanya meeting na ndugu zako sebuleni kwako MINJINGU Ndani ndani Difenda zitakuja "KAMA ZOTE" kukuzuia.
anazunguka kama nani? yeye ni mwakilishi wa jimbo gani? juzi alikuwa mirerani anazurura zuruzaAcha kumtisha wewe.... nawe si uzunguke kama unaweza, hilo si liko kikatiba?
shida inaanzia hapaukandamizaji mkubwa wa demokrasia na haki za kidemokrasia
Sumaye anasema serikali imesema itamfilisi mpaka abaki na ndala tu kama hatomtukuza mtukufu.Waziri mkuu Sumaye anasemaje huko?
nawe s uzunguke? katiba s imekuruhusu?anazunguka kama nani? yeye ni mwakilishi wa jimbo gani? juzi alikuwa mirerani anazurura zuruza
Nadhani amekusikia, ameogopa na amerudi nyumbani kwake.tumemtahadharisha makusudi asije kuleta lawama , akiwa kiongozi hakuwahi kutegemea polisi , lakini sasa inaonekana anachanganyika na wategemea polisi .
Jiwe si alikataza hadi 2020? bibie kichanga kinakusumbua hadi umepoteza kumbukumbu eti ee?nawe s uzunguke? katiba s imekuruhusu?
so
Kweli wewe ni kilambasi
Mbadala wa nini? Opposition.Mnakosea kujiita WAPINZANI. Ni vyama vyote wanapinga inategemea unaongelea nini.
Viite vyama mbadala.
akumbuke kwamba kila mtu atabeba mzigo wake , halafu inakuwaje mtu uliyemkataza kuvunja ghorofa la Tanesco ukiwa waziri mkuu leo akutumikishe kama tarishi ?Anatumwa na bwana yule wa Magogoni!
Duh ! eee bhana eeee !!Jiwe si alikataza hadi 2020? bibie kichanga kinakusumbua hadi umepoteza kumbukumbu eti ee?
Mmhhhh!!!tumemtahadharisha makusudi asije kuleta lawama , akiwa kiongozi hakuwahi kutegemea polisi , lakini sasa inaonekana anachanganyika na wategemea polisi .
Alikanywa akajirudiMmhhhh!!!
Sifa kubwa ya utanzania ni usahaulifu?
Yule wa piga Tu akiwa prime minister alikuwa nani kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app