Mizengo Pinda anazunguka mikoani akifanya mikutano kama nani ?

Huku zitto huku pinda nadhani wana ajenda ya pamoja
 
Me nimemuona Manyara akiwa kama mlezi wa chama wa mkoa. Huko mikoa mingine sijui.

Mbinguni hakuna bia.
 
Kwani alishapona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Analisha mtoto wa mwenzake, wakati mtoto wake anakufa kwa njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa watu wanatakiwa watambue kuwa na heshima kwa viongozi waliopita,mizengo pinda alikuwa waziri mkuu tena alikuwa akifanya kazi zake vizuri,sidhani kama hatakiwi kutoa mchango wake eti kwa vile cheo chake hakipo kwa sasa.Yeye bado yupo ccm na bado ccm imeshika dola anahaki zote za kufanya hivyo.wapinzani muache chonganishi tafuteni point za kuwafanya watanzania wakawaelewa na sio kuleta maneno ya uchochezi.
 
Kwenye mkutano mkuu wa ccm wa kumchagua mgombea wake nafasi ya urais 2015 camera zilimnasa huyu Mzee akidondosha chozi baada ya matokeo kutangazwa. Je, chozi lile lilikuwa la furaha au huzuni?
 
Hana madhara huyu mzee sijui kama watu kwenye akili timamu wanaweza poteza muda kumsikiliza, amejaribu kufuga nyuki ameshindwa life limemgonga nae anaganga njaa kwenye chama.
 
2015 kwenye mchakato wa urais nasikia alikatwa kwenye kamati ya maadili. Hivi waziri mkuu kufyekelewa mbali kwenye kamati ya maadili manake nini!!
 
Opposition sio maana yake tu kupinga kwenye muktadha wa vyama vya siasa,maana hauwezi sema chama mbadala wakati kikishika nchi je kile cha mwanzo nacho kitakuwa mbadala wakati kilikuwa madarakani na kikaondolewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…