Mizengo Pinda declares assets in anti-graft drive

Mizengo Pinda declares assets in anti-graft drive

sawa mkuu, alini kumzungumzia nyerere unazungumzia exceptions. kumbuka ukitunga sheria ya ukomo wa madaraa unaufanya mfumo mahususi wa uongozi ambao utam-regualte kila mtu, na ndio tunasema tusimjadili nyerere, tujadili manufaa ya mfumo na ufanisi wake ndipo tutajua kuwa tunauhitaji ama la. ndio mamana nasema kukitungwa sheria ya ukomo wa vipindi vya ubunge pia, biashara zitafanyika ntingi sana na mahesabu yatafungwa mengi sana kuanzia ikulu hadi majimboni! ndipo ninaposema nchi itafyatuka kwa ufisadi

Wako Wabunge chungu nzima ambao wamekaa bungeni kwa miaka 20 na wengine mpaka 25 ukiangalia majimbo yao hayana maendeleo yoyote ya maana, hivyo kwa nini mbunge kama huyu aachiwe kukaa bungeni vipindi vinne mpaka vitano na ili hali jimbo lake halina maendeleo yoyote na bungeni mbunge kama huyu yeye anachapa usingizi tu na labda hata mahudhurio yake ya vikao vya bunge ni ya kukatisha tamaa. Saa zote yuko busy kufuatilia miradi yake.

Na baadhi ya Wabunge hawaonekani majimboni kwao mpaka karibu na uchaguzi mwingine kwenda kuomba "KULA" na wakishapewa "KULA" wakitimka ndiyo kimoja mpaka uchaguzi mwingine unapokaribia ndiyo wanajipitishapitisha majimboni na kuanza kutumia rushwa za kugawa vijisenti, fulana, matandiko, pilau na hata michele na unga. Ni lazima watumie rushwa maana hakuna walichokifanya chochote cha maendeleo katika majimbo yao.

Mimi naona inafaa kuwe na ukomo wa awamu mbili tu kama Rais ili tupate mawazo mapya na damu mpya ambayo inaweza kuleta maendeleo ya kweli katika majimbo mbali mbali nchini
 
Ndugu Bagamoyo,
Labda uweke wazi kwamba uungwana ungekuwapo kama angesemaje?..Lakini hilo bandiko uliloweka halitoshelezi kumweka kwenye shaka,maana ameongea practise inayofanywa na sheria inavyosema.
 
Ni aibu kuona nchi kama Tanzania inatumia sheria za mwaka 1970, hivi wizara ya sheria huwa inafanya kazi gani ktk miaka 5??
 
jamani sheria ya maadili ya viongozi wa umma hailazimishi mu kutaja hadharani mali zake kama alivyosema makinda bali humlazimisha kutaja kkwenye tume pekee. hivyo pinda ana hiyari ya kutaja kwenye tume na kukaa kimya kama anavyofanya wengine au kuweka hadharani kama mkapa na sumaye walivuopata kufanya. sheria haimzuii. ni sawa na kusema sheria ya ndoa imeruhusu talaka lakini haiwazuii waliotalikiana kupendana tena!

sheria huwa inazuia kitu kibaya na hailazimishi kitu kizuri kisifanywe. ndiyo tabia ya sheria

hivyo mama makinda yuko sahihi kadhalika na pinda naye.

labda sasa ni wakati muafaka wa kufanyia sheria hii marekebisho kama alivyopendekeza kichuguu hapo juu no 20

Mkuu ukweli na chanzo cha maovu yote ni kwamba CCM na viongozi wake hawataki kubadili sheria ili ziendane na wakati kwa sababu tu wanataka kuiba alafu waseme sheria haziwalazimishi, hivi wizara ya sheria na katiba wanapata mshahara wa nini? kama hawawezi kuona sheria mbovu na kuzibadirisha???
 
jamani sheria ya maadili ya viongozi wa umma hailazimishi mu kutaja hadharani mali zake kama alivyosema makinda bali humlazimisha kutaja kkwenye tume pekee. hivyo pinda ana hiyari ya kutaja kwenye tume na kukaa kimya kama anavyofanya wengine au kuweka hadharani kama mkapa na sumaye walivuopata kufanya. sheria haimzuii. ni sawa na kusema sheria ya ndoa imeruhusu talaka lakini haiwazuii waliotalikiana kupendana tena!

sheria huwa inazuia kitu kibaya na hailazimishi kitu kizuri kisifanywe. ndiyo tabia ya sheria

hivyo mama makinda yuko sahihi kadhalika na pinda naye.

labda sasa ni wakati muafaka wa kufanyia sheria hii marekebisho kama alivyopendekeza kichuguu hapo juu no 20

Sioni tofauti yoyote kati ya kutaja mali hizo hadharani na kuzitaja mbele ya tume kwa vile sheria hii haizuii raia kujua mali za viongozi zilizotajwa.
 
Nimetafakari kwa kina adhari za Pinda kutangaza mali zake..tena amechagua kufanya hivyo wakati rais akiwa msumbiji...??

natafakari kama ..pinda ni sokoine mwingine??? je alishauriana na kikwete ,president kabla ya kuamua kutangaza mali???

kama atakuwa alishauriana na rais basi atakuwa na baraka zake...na atakuwa na nguvu ya kuwalazimisha wengine nao watangazi...,lakini kutokana na majibu ya mama makinda ..na kiburi alichoonesha ..ni wazi kuwa Pinda hana baraka za rais kwenye hili[inawezekana rais mwenyewe hayuko tayari kutangaza mali zake]

kama ndivyo...

Ni wazi kuwa Pinda kutakuwa na mambo ambayo anaona hayaendi vema ndani ya serikali ikiwemo hili la vita dhidi ya ufisadi na umuhimu wa kuongoza kwa vitendo....inawezekana kabisa kuwa amejaribu kupiga ndogo ndogo kwa rais lakini haoni utekelezaji....sasa ni wazio..haSA pinda kama Mtaaalamu atakuwa ameamua ku spill beans ...kwa kuamua kuchukua affirmative action ya kutangaza mali zake....

madhara yake ni nini??

kiprotocol hapo rais hawezi tena kutangaza mali zake wala makamu wa rais....kwa sababu itamaanisha kuwa Pinda ndio amewaongoza kufanya hivyo.........

mawaziri pia wanaweza wasitangaze mali zao kwa kuwa wataamini kuwa Pinda hakutumwa na kikwete kutangaza mali....

kitakachotakiwa ili kuweka hali sawa ...ni kwa kikwete kutoa tamko la kumsifu waziri mkuu wake na kuwataka walio chini yake kufuata nyayo....

HII SI MARA YA KWANZA....

PINDA atakuwa amefanya kama alivofanya sokoine pale alipogundua kuwa vita dhidi ya uhujumu uchumi ilikuwa ikiangushwa na baadhi ya mawaziri .....alichofanya ni kuamua kuwakagua mawaziri ...ili kuonesha hatua .....hakumpigia mwalimu kuomba ruhusa ..bali alimpigia mwalimu simu kumuarifu tu hatua anazopanga kuchukua bila kutaka ushauri zaidi[alikuwa jasiri]......

nadhani pinda atakuwa ameona kuwa juhudi za serikali kupambana na ufisadi zinarudihwa nyuma na viongozi wenyewe,,,,BASI NA KIKWETE AMPE RUNGU ...ILI NA WOTE WAWE SALAMA...KIKWETE ANAWEZA KUUTUMIA HUU KAMA MTAJI WA KISIASA....AU IKAMWANGAMIZA KISIASA...
 
Mimi nina swali: Je kuna process ya ku-verify mali alizo orodhesha kiongozi fulani ni kweli?
 
Hivi ukitaka kuwavuruga wabunge gusia:

  1. Mishahara/marupurupu yao
  2. Ukomo wa ubunge wao
Haya mawili mbona naona kama yanawakera sana? Yana nini haswa?
 
Hivi ukitaka kuwavuruga wabunge gusia:

  1. Mishahara/marupurupu yao
  2. Ukomo wa ubunge wao
Haya mawili mbona naona kama yanawakera sana? Yana nini haswa?


Mheshimiwa Invisible you are right hayo ni maswali magumu sana kwa viongozi wetu wa sasa na si wabunge tu , aliyeweza kuyajibu na kwa vitendo ni Mwal. Nyerere tu. Wengine zuga zuga tu.
 
Now; See what Adam Lusekelo writes:

Pinda goes public on his poverty!

By Adam Lusekelo
Sunday 17, Jan 2010


The national jaw has dropped on the utterances of the premier, Mizengo Peter Pinda. Eyebrows have soared to the stratosphere.Is he okay? I mean, how do you just declare your personal poverty to the media and say you own peanuts? There ought to be a commission of enquiry about this. How can a prime minister of Tanzania be so poor?

Premier Pinda has said that he owns three shacks, which he calls houses, in Dodoma, Sumbawanga and a room on a shamba somewhere around Pugu. The Sumbawanga shack is somewhere called Makanyagio, definitely not in the posh area of the town.

Now Makanyagio area must have been an abattoir or a place they used to sell beef leftovers, like boiled hooves, heads, entrails (utumbo) and such. There are such places in most towns in Bongo.

So the premier called his property houses. Presumably he has not seen the castles which have been built in Mikocheni area and the likes in Tanzania’s urban centers. Tasteless godowns adorned with luminous lights here and there portrayed as residential houses.

You look at those godowns and you wonder - do those couples want to play lawn-tennis indoors? How do they communicate, by using the latest intercom technology?

But you understand the psychology. If you come from a hole in the ground for a home, you will want to revenge. Once you get fisadi money, you build your personal Ikulu so that the world sees that now you are made.

That mindset is at the sub-conscious of many a head. Big house, big car, big bank account, and probably big mama, as well. But you get surprises amidst the looting frenzy we live in. Former premier Judge Joseph Warioba is one surprise. He is relatively modest.

Premier Pinda comes in mind. He has about 25, 000 dollars in his account. Basi? The prime minister of the United Republic of Tanzania has only that? Is he serious? There must be a catch somewhere!

I mean, for example, there is this $40 million deal to bring tractors from India. Normally, the premier would have found this Tanzanian ‘businessman’ and there already have been two of them at each others’ throats to clinch the deal. The ‘businessman’ would have had the necessary ‘qualifications’ like being of Indian origin. Black Tanzanians can’t be businessmen, they cannot trade. Maybe selling the odd mango this season.

Then the premier would have given the deal to the Asian businessman, with homes in Switzerland, Bombay and Ottawa partnered with mzee’s brother Then the Pindas would have been awarded with the usual 10 per cent commission of $4 million to be salted away in some off-shore account, somewhere far from the prying eyes of envious Tanzanians. Wivu tu!

But no. The Premier talks of giving the deal to the SUMA JKT and TPDF Nyumbu, to assemble the darn tractors in Tanzania. Odd fellow, this guy. I mean, why can’t he just be normal like everybody else, grab the 4 million dollars and run? I mean, nothing will happen!

But he says strange things: “I am very comfortable and would not use my position to enrich myself. I am very privileged because I am being fed, housed and all my other needs are taken care of by the State and even in retirement. I consider this a reward enough to dedicate my energy to serving the republic.”

Kick me if I am dreaming! I think quite a number of us wananchi will need a wallop in the butt. This can’t happen in today’s Bongo! He has had sense to realize that you cannot eat 20 roast chickens all by yourself at one sitting. Because that is called greed –which is most contemptible. Great. Do such types still exist in the United Republic of Tanzania?
 
hichi kinchi!!Politicians are killing it!the so called educated fellas can't wait to get their shots into the Gig!the normal citizens are so beaten up by life they hardly care...,

its like we are cursed,over and over again!
 
hichi kinchi!!Politicians are killing it!the so called educated fellas can't wait to get their shots into the Gig!the normal citizens are so beaten up by life they hardly care...,

its like we are cursed,over and over again!

Si unasikia wanavyojisifu walivyosoma na degree zao feki. Ishara ya kusema mimi nina degree kadhaa ni ishara ya kufilisika kimawazo. Unataka kutisha watu na degree za kuombea maji.
 
Now; See what Adam Lusekelo writes:

Pinda goes public on his poverty!

By Adam Lusekelo
Sunday 17, Jan 2010


The national jaw has dropped on the utterances of the premier, Mizengo Peter Pinda. Eyebrows have soared to the stratosphere.Is he okay? I mean, how do you just declare your personal poverty to the media and say you own peanuts? There ought to be a commission of enquiry about this. How can a prime minister of Tanzania be so poor?

Premier Pinda has said that he owns three shacks, which he calls houses, in Dodoma, Sumbawanga and a room on a shamba somewhere around Pugu. The Sumbawanga shack is somewhere called Makanyagio, definitely not in the posh area of the town.

Now Makanyagio area must have been an abattoir or a place they used to sell beef leftovers, like boiled hooves, heads, entrails (utumbo) and such. There are such places in most towns in Bongo.

So the premier called his property houses. Presumably he has not seen the castles which have been built in Mikocheni area and the likes in Tanzania's urban centers. Tasteless godowns adorned with luminous lights here and there portrayed as residential houses.

You look at those godowns and you wonder - do those couples want to play lawn-tennis indoors? How do they communicate, by using the latest intercom technology?

But you understand the psychology. If you come from a hole in the ground for a home, you will want to revenge. Once you get fisadi money, you build your personal Ikulu so that the world sees that now you are made.

That mindset is at the sub-conscious of many a head. Big house, big car, big bank account, and probably big mama, as well. But you get surprises amidst the looting frenzy we live in. Former premier Judge Joseph Warioba is one surprise. He is relatively modest.

Premier Pinda comes in mind. He has about 25, 000 dollars in his account. Basi? The prime minister of the United Republic of Tanzania has only that? Is he serious? There must be a catch somewhere!

I mean, for example, there is this $40 million deal to bring tractors from India. Normally, the premier would have found this Tanzanian ‘businessman' and there already have been two of them at each others' throats to clinch the deal. The ‘businessman' would have had the necessary ‘qualifications' like being of Indian origin. Black Tanzanians can't be businessmen, they cannot trade. Maybe selling the odd mango this season.

Then the premier would have given the deal to the Asian businessman, with homes in Switzerland, Bombay and Ottawa partnered with mzee's brother Then the Pindas would have been awarded with the usual 10 per cent commission of $4 million to be salted away in some off-shore account, somewhere far from the prying eyes of envious Tanzanians. Wivu tu!

But no. The Premier talks of giving the deal to the SUMA JKT and TPDF Nyumbu, to assemble the darn tractors in Tanzania. Odd fellow, this guy. I mean, why can't he just be normal like everybody else, grab the 4 million dollars and run? I mean, nothing will happen!

But he says strange things: "I am very comfortable and would not use my position to enrich myself. I am very privileged because I am being fed, housed and all my other needs are taken care of by the State and even in retirement. I consider this a reward enough to dedicate my energy to serving the republic."

Kick me if I am dreaming! I think quite a number of us wananchi will need a wallop in the butt. This can't happen in today's Bongo! He has had sense to realize that you cannot eat 20 roast chickens all by yourself at one sitting. Because that is called greed –which is most contemptible. Great. Do such types still exist in the United Republic of Tanzania?

- I am glad kwamba hatimaye someone ameweza kuiweka hii kitu inapotakiwa, angalau sasa inaeleweka zaidi na very clear alichosema na ambacho hakukisema!

Respect.


FMEs!
 
Wabunge wampinga Pinda

Imeandikwa na Waandishi Wetu;
Tarehe: 16th January 2010


1. Mwanataaluma, Profesa Mwesiga Baregu pia aliunga mkono kwamba wananchi waachiwe wachague kiongozi wanayemtaka bila kushawishiwa kwa hongo na kujengewa hofu yoyote.


2. Alisema iwapo Watanzania watakuwa na uwezo wa kuchagua kiongozi kwa kuzingatia utendaji wa mgombea ni lazima watakuwa wanachagua kiongozi bora kuliko ulivyo mfumo wa sasa hivi.


3. “Sasa hivi wananchi hawachagui kiongozi bora, wanaweka mbunge ambaye anatumia fedha nyingi kuwahonga na kila baada ya uchaguzi anatumia fedha, katika hali ya namna hiyo hakuna kiongozi bora wa jimbo,” alisema Profesa Baregu.

4. Alisema Waziri Mkuu ahangaike na elimu ya uraia kwa wananchi ili waepuke kurubuniwa na kujengewa hofu, kwamba wakichagua fulani au chama fulani hawawezi kupelekewa maendeleo.

5. Alisema sasa hivi wananchi wanahongwa na kujengewa hofu hivyo kujikuta wanachagua mbunge chini ya shinikizo.

6. Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Victor Kimesera alisema tatizo kwenye ubunge si ukomo, bali tatizo ni namna hata wabunge wabovu wanavyochaguliwa tena kuongoza kwa vile tu wanatoa rushwa.

7. “Tatizo ni rushwa, hili tukiliondoa Watanzania watapata wabunge bora.”
Mwenyekiti wa NLD, Dk. Emmanuel Makaidi

- Tunasumbuliwa na Rushwa hili taifa, na wananchi wasiojua haki zao wala elimu ya siasa ya taifa lao, bila kurekebisha haya ni kazi bure tu, tutaendelea kusumbuana bila jawabu zeru kwa masilahi ya taifa.

- Wengi tulitegemea siasa za vyama vingi vitatuondolea matatizo, lakini ukweli ni kwamba imesaidia kui-humble CCM kidogo tu, yaani sasa kufanya mambo yao maovu kwa staha, lakini mambo ni yale yale tu, sasa ifike mahali wananchi tunahitaji kwua waangalfu sana na hasa ushauri unaotolewa na viongozi wa CCM kwa manufaa ya taifa sometimes huwa ni mitego tu ya kuhamishia wine ya zamani kwenye chupa ya mpya!

Respect.


FMEs!
 
Hivi ukitaka kuwavuruga wabunge gusia:

  1. Mishahara/marupurupu yao
  2. Ukomo wa ubunge wao
Haya mawili mbona naona kama yanawakera sana? Yana nini haswa?

Mkuu Invisible,

Hili jambo (2) nimekuwa nikilisisitizia kwa saana tu.......tangu enzi zileee BCS EF, Jambo, na sasa Jamii.....kuna wakati nilipata kumshahwishi kwa hoja.......Waziri fulani na aliwahi kulizungumzia hili jambo.......nakwambia alipigwa vijembe mpaka basi......nilipokutana naye tena........alionekana mtu wa kukata tamaa........nikamwambia....its a matter of time.............sasa ukiona watu mitaani wanaanza kujadili........huo ni mwanzo mzuri......

Nakuhakikishia mambo/matatizo ya msingi hawa Wakulu hawataki hata siku moja kuyagusa/kuyashughulikia......tena ndugu zao/wao wenyewe wapo hapa JF na watapinga VIKALI HOJA HIZO ZA MSINGI.......watch!

Katika hiyo list yako....ongezea hapo "3. Independent Candidates".....halafu.......watch!
 
- Tunasumbuliwa na Rushwa hili taifa, na wananchi wasiojua haki zao wala elimu ya siasa ya taifa lao, bila kurekebisha haya ni kazi bure tu, tutaendelea kusumbuana bila jawabu zeru kwa masilahi ya taifa.

- Wengi tulitegemea siasa za vyama vingi vitatuondolea matatizo, lakini ukweli ni kwamba imesaidia kui-humble CCM kidogo tu, yaani sasa kufanya mambo yao maovu kwa staha, lakini mambo ni yale yale tu, sasa ifike mahali wananchi tunahitaji kwua waangalfu sana na hasa ushauri unaotolewa na viongozi wa CCM kwa manufaa ya taifa sometimes huwa ni mitego tu ya kuhamishia wine ya zamani kwenye chupa ya mpya!

Respect.

FMEs!
Times and again tunarudia makosa yaleyale. Imefika wakati sasa tuanze kuunda mifumo yenye nguvu nje ya hii ya kisiasa.Kwa mfano,wananchi tuonyeshe kwa dhati kama mambo yanayotuhusu tunauwezo wa kuyashughulikia bila influence ya wanasiasa. Wana siasa wamekuwa waongo sana siku hizi na kila wanachofanya hata kama kwa nje kinaonekana kina maslahi ya Taifa, ukichunguza vizuri kwa ndani unagundua maslahi yao ni makubwa kuliko ya Taifa.
 
Date::1/16/2010

Pinda amtega Rais Kikwete
Mwandishi Wetu
Mwananchi


UAMUZI wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wa kutangaza mali zake, sasa ni mtego wa kisiasa kwa Rais Jakaya Kikwete ambaye amekaa kimya tangu aingie madarakani mwaka 2005.

Hata hivyo, wachambuzi wa mambo wanaeleza kuwa kiasi cha utajiri mdogo alionao Pinda unaweza kuwa kikwazo kwa Rais Kikwete na viongozi wengine kutangaza kwa vile wengi wao wamejilimbikizia mali.


Akitangaza mali zake Alhamisi iliyopita jijini Dar es Salaam, Pinda alisema ana Sh25 milioni kwenye akaunti yake, nyumba tatu za kawaida zilizo Dar, Mpanda na Dodoma na gari alilolinunua kwa mkopo.


Pinda, maarufu kama Mtoto wa Mkulima alisema: "Na kikubwa ambacho mimi nasema kwa nafasi hizi (za uwaziri), pengine mimi sielewi unataka utajiri ili ufanye nini,". Alisema ameamua kufanya hivyo kwa sababu ni utaratibu mzuri unaoweza kuweka wazi mali za viongozi ili wasije kupotoka kimaadili.


"Ninajitahidi kujaza fomu za sekretarieti ya maadili kila mwaka na ninazipeleka huko na kwa sababu sijaulizwa napenda niamini kwamba sijagombana na tume," alisema Pinda ambaye alianzia naibu waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) na baadaye waziri kamili kabla ya kuteuliwa kuwa waziri mkuu mapema mwaka juzi.

Katika maelezo yaliyoonyesha kuwa anawashambulia waliomtangulia katika wadhifa wake wa sasa alisema: "Kwa nafasi ya waziri mkuu huhitaji kutafuta utajiri kwa sababu kila kitu unapata bure".


Alisema yeye ana nyumba Dodoma kutokana utaratibu wa mikopo ya nyumba za serikali; ana nyumba Mpanda ambayo aliinunua kwa gharama nafuu na pia ana shamba Dar es Salaam.


Pinda anafuata nyayo za rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa ambaye wakati akiingia madarakani mwaka 1995, alitaja mali zake alizokuwa akimiliki, lakini aliondoka bila ya kueleza utajiri wake, huku akituhumiwa kujilimbikizia mali ikiwamo tuhuma ya kutumia madaraka vibaya na familia yake kujiuzia Mgodi wa Mawe wa Kiwira, mkoani Mbeya.


Kitendo cha Pinda kutangaza mali sasa amechochea hamu ya wananchi kutaka kujua mali alizo nazo Rais Kikwete na mawaziri wote wa serikali yake.


Uchunguzi wa Mwananchi Jumapili unaonyesha kuwa wapo waliobeza uamuzi huo wa Pinda kutangaza mali hadharani kwa madai kuwa sheria inayosimamia suala zima ina upungufu.


Mbunge wa Karatu, Dk Willibrod Slaa aliliambia gazeti hili jana kuwa suala la viongozi wa umma kutangaza mali zao halitakuwa na maana kama chombo kinachosimamia mpango huo, yaani sekretarieti ya maadili ya watumishi wa umma, iliyo chini ya Ofisi ya Rais haitatoa uhuru wa wananchi kwenda kuona mali zilizoorodheshwa.


"Kutangaza tu mali hadharani hakusaidii. Ila mtu anaweza kutamka tu. Kama ameficha nyingine itajulikaje?" alihoji Dk Slaa ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chadema.


Alifafanua: "Watu kujitangaza tu ni upuuzi mtupu. Kinachotakiwa ni sheria kubadilishwa na kutoa uhuru wa wananchi kuziona inapohitajika."


Alitoa mfano kuwa zilipozuka tuhuma kwamba, aliyekuwa Waziri wa Miundombinu, Andrew Chenge ana akaunti nje ya nchi yenye Sh1 bilioni, wananchi walitaka kujua kama aliziorodhesha kwenye fomu ya kutaja mali; lakini ikashindikana kutokana na urasimu wa sheria na kanuni zinazosimamia mpango huo.

Kwa upande wake, Waziri wa Maliasili na Utalii Shamsa Mwangunga amempongeza Waziri Mkuu kutangaza mali zake hadharani na kusema hata yeye ameshatangaza kwa kujaza fomu za tume ya maadili ya umma na kwamba, mwananchi yeyote anaweza kwenda kuangalia orodha hiyo katika tume hiyo.


"Waziri wetu mkuu ni muwazi kabla ya kushika wadhifa huo.Mimi napenda alivyofanya ni utaratibu mzuri.

Lakini hata mimi nimetangaza zangu ingawa siyo katika vyombo vya habari, nimejaza zile fomu za Tume ya Maadili na bahati nzuri tume hiyo imeweka utaratibu mzuri wa mtu yeyote kuweza kuangalia taarifa hizo, hivyo mtu yeyote anaweza kwenda mradi afuate sheria," alisema Mwangunga.


Mwangunga aliongeza: "Mimi akaunti yangu ina fedha chache kuliko zake (Waziri Mkuu), lakini kwa sababu yeye ni bosi wangu siyo tatizo, niko tayari hata kuwapa akaunti yangu mkaiangalie".

Naye, Mtaalamu wa Uchumi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk Semboja Haji alisema haoni sababu ya viongozi kutaja mali zao bila kuwepo na hoja yoyote juu yake, kama vile tuhuma zinazolazimisha azitaje ili kujisafisha.


Dk Semboja alisema haoni ubaya kwa Pinda kutangaza mali zake, lakini hoja siyo kujitangaza bali ni uhalali wa mtu kupata mali husika.


Mchumi huyo alisema ajenda kubwa katika suala hilo ni maendeleo na namna viongozi waliopo wanaweza kusimamia mkakati huo kwa uadilifu. Mbunge wa Vunjo (CCM), Aloyce Kimaro alielezea kuwa alichofanya Pinda kama ishara ya uadilifu wa kuigwa.


"Upo utaratibu wa kujaza fomu kuonyesha mali kila mwisho wa mwaka. Pinda amefanya hilo, hapo ameonyesha uadilifu na ni ishara kwamba, huko tuendako sheria zitabadilika na kuwabana zaidi viongozi wasioweka hadharani mali zao," alisema Kimaro. Muasisi wa Chadema, Edwin Mtei alikuwa na wasiwasi unaotokana na rekodi za awali.


"Kwa hatua hiyo, huenda Pinda ni mwadilifu," alisema waziri huyo wa zamani wa fedha, lakini akaongeza. "Rais Mkapa aliwahi kutangaza mali zake alipoingia madarakani, lakini baadaye hakuweza kutangaza tena. Pinda aendelee na hilo kuonyesha uadilifu."
Hata hivyo alisema kwa sasa hasa baada ya kufutwa kwa Azimio la Arusha ni vigumu kujua kwa uhakika kiongozi ana mali gani na kuwashauri viongozi wengine kuiga mfano wa Pinda.
 
Speaker: I`m studying PM`s opinion on MP term limit

By Polycarp Machira

17th January 2010

Sitta(8).jpg

Speaker of the National Assembly Samuel Sitta

Speaker of the National Assembly Samuel Sitta has said he is studying the opinions put forward by Prime Minister Mizengo Pinda this week over imposition of term limit for Parliamentarians.

Sitta said he would not like to comment on the opinion before finding out the arguments put forward to back up the idea. "…I have been out of office for sometime and right now I have some newspapers to read. I would like first to study this opinion before I come up with my comment."

Speaker Sitta made the remarks on the phone when asked this week by The Guardian on Sunday to comment on the opinion expressed by the Prime Minister over a term limit for Parliamentarians.

However, according to a random survey by this newspaper there is increasing anxiety among MPs who expressed mixed views, some saying there should be term and age limits while others state the matter should be left to be decided by the electorate.

Prime Minister Pinda, in a question and answer session with editors on Thursday, said he wished there could be a limit to parliament representation by the legislators, suggesting three terms of five years each were adequate.

As for the presidential term, the Tanzanian constitution allows for a maximum of two-five-year terms. And according to Pinda a time limit would reduce squabbles between incumbent MPs and other parliament seat aspirants.

He said his region (Rukwa) had led the way after veteran MPs, Paul Kimiti (Sumbawanga Urban) and Chrisant Mzindakaya (Kwela), declared not to contest in this year's general election.

However, Same East MP Anna Kilango-Malecela (CCM) said the electorate should decide how long an MP should serve in a constituency or special seat, saying age limit suggestion was irrelevant.

Karagwe MP Gosbert Blandes (CCM), on his part, simply said only the people can limit the term of MPs through the ballot box. "Voters should be left to decide if they want an MP to continue serving them or not," he noted.

Retiring Sumbawanga Urban MP, Paul Kimiti (CCM), said age does not matter when it comes to executing duties. "It's my conscience not to contest this time. I had no pressure from anyone, but some MPs complain that my decision has led to all these problems," said Kimiti.

Meanwhile, Muhambwe MP Felix Kijiko (CCM) said three terms were enough for a hardworking MP to accomplish his mission. But Tabora Urban MP Siraju Kaboyonga (CCM) said experience and knowledge were the best tools for development.

"The first five year (term) is usually when one is trying to understand the laws and regulations, understand how the Parliament operates while the following years, are for getting friends and trying to bring development to a constituency," he explained.

Kaboyonga said limiting MPs' term would leave many constituencies underdeveloped, as the representatives will not have enough time to prepare and bring about development to their constituencies.

Citing Tabora Urban, he said it was underdeveloped, because there had been frequent changes of MPs serving the constituency. "Some constituencies in Tabora are well developed because their MPs have served them for a long time.

"The old MPs are not useless; a mechanism should be sought to tap their knowledge and experiences," he stressed.

SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY
 
Hizi politics za kuweweseka sidhani kama zinatusaida in general, huyu Mh. anaweka sana personal emotions kenywe jamii. Kuna sababu gani ya yeye kuorodhesha asset zake?. Its simple kama kungekua na government auditors wanaofanya kazi zao, takuruku inafanya kazi yake na mahakama inayofanya kazi kama nchi zingine zenye maendeleo. Leo hii wananchi wala tusingekua tunalilia na wizi haya mambo ya kubembelezana, sijui PM anaanza na mfano wengine waige hatuyataki. Kweli upendi tabia za wezi your the PM hakikisha kazi inafanyika bila ya kumuangalia nyani usoni huko bungeni. Pigania system ifanye kazi si haya mambo ya kubembelezana kwanza account zenyewe zipo nje. Mwisho ki mtazamo sidhani kama ni busara kumpangia mbunge muda, swala ni kuua networking inayowafanya wazee wasiokua na shughuli bungeni kurudi, hii ni serikali kuacha sera za kuonga simple. Tuache demokrasia ichukue mkondo wake namna moja hiwe, marufuku kutoa zawadi ya aina yeyote kwenye campaign hili watanzania sasa waanze kusilikiliza sera badala ya kusubiri 'punje' sijui t-shirt. Hii ndio namna moja ya kung'owa wazee wanaosinzia bungeni wapate challenge na si kutumia change za za ufisadi kurudi kurudi tu kwenye jumba letu la demokrasia.
 
Back
Top Bottom