The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Ofisi yangu tayari imepata maoni ya Wanasheria mbalimbali wakiwemo Mheshimiwa Andrew Chenge, Mbunge wa Bariadi Magharibi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mstaafu; Mheshimiwa Johnson Mwanyika - Mwanasheria Mkuu wa Serikali; na Mheshimiwa Nimrod Mkono Mbunge wa Musoma Vijijini. Maoni yao yatatusaidia sana katika kuimarisha Mfumo wetu wa Majadiliano ya Mikataba. Naomba nitumie nafasi hii kuwashukuru Waheshimiwa Wabunge hawa kwa maoni na ushauri wao mzuri sana.
What a crap is this? Hakuna kipya hapo....
Inakuwaje wanachukuwa ushauri kwa walewale walioshindwa kutoa ushauri. Wanantiaa hasira hawa jamaa!! Huyu Pinda kweli amepinda.