The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Ofisi yangu tayari imepata maoni ya Wanasheria mbalimbali wakiwemo Mheshimiwa Andrew Chenge, Mbunge wa Bariadi Magharibi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mstaafu; Mheshimiwa Johnson Mwanyika - Mwanasheria Mkuu wa Serikali; na Mheshimiwa Nimrod Mkono Mbunge wa Musoma Vijijini. Maoni yao yatatusaidia sana katika kuimarisha Mfumo wetu wa Majadiliano ya Mikataba. Naomba nitumie nafasi hii kuwashukuru Waheshimiwa Wabunge hawa kwa maoni na ushauri wao mzuri sana.
What a crap is this? Hakuna kipya hapo....
Yaani pinda weye na uerevu wako wezi waliotuibia unaenda kuwaomba ushauri na usivyo na adabu wala aibu ya kuzaliwa unatutangazia na majina yao kabisa
huu ufirauni umeeuanza lini kijana jamani tanzania mimi basi wacha nikabebe mabox
na wenzangu mhh uku siko
...Wanafanya makusudi kuwataja hao. haingii akilini katika watu woote SAFI ambao Waziri Mkuu angeweza kuwaomba ushauri aende kuwaomba ushauri
CHENGE?
MWANYIKA?
MKONO?
lazima kuna ujumbe hapo watanzania tunakejeliwa nao....!
PINDA kweli KAPINDA Sikutegemea usanii kama huu.
Unaomba ushauri kwa Mafisadi, unategemea nini,
Halafu unasema kwa kujikosha " Niliongea pia na Mwakyembe" Unafiki na uzandiki mkubwa.
Hawa CCM wasifikiri wana hati miliki ya nchi hii.
Hakika msipotoka 2010, 215 lazima mtoke kwani kizazi cha watoto kilichoandama kitakuwa kimefikia umri wa kulisogelea sanduku