Mizengo Pinda: Serikali ilivyotekeleza Maazimio ya Bunge Richmond

Sawa. Ila kwa kweli inasikitisha.
Sasa tulenge 2010!!!!!!!!!!! Kila mtu aitumie kura yake vizuri 2010. Hapa dawa ni "regime change". Hakuna jingine.

2010,hakuna kitu ccm washinda kwa kishindo,dawa ni kuzomea tu lika wapitapo,kuanzia raisi mpaka mfagizi wake.
 
Kweli it will take 200 years nchi hii kuendelea. Watanzania tunatakiwa kutambua kwamba hakuna nchi duniani iliendelea kwa kulinda, kuremba au kutukuza ufisadi.

Lord have mercy kwa watanzania wanaoibiwa na viongozi wa taifa lao wanawalinda wezi.

Ni kweli kabisa, uko sahihi kwa asilimia 100!!! It will take another two or three generations for this country to develop! Ni ukweli ulio mchungu sana lakini inabidi tuukubali!
 
This is a serious disappointment of my life and that of my future generation! Kwa mtindo huu wanataka kutuletea matatizo nchini mwetu, Mungu apishilie mbali!
 
Mzee wa visenti kumbe bado anaishauri serikali? Case ya nyani unampelekea Tumbili? Ni wamoja hao.
 
Jamaa walileta mitambo bomu, lakini Dowans wakalipwa US$ 4+ million. Ama kweli Tanzania shamba la bibi. Mijamaa (Richmond) imejipatia mtaji safi wa kuendeleza biashara yao ya Printing, na labda kuanzisha nyingine.
 
Sawa. Ila kwa kweli inasikitisha.
Sasa tulenge 2010!!!!!!!!!!! Kila mtu aitumie kura yake vizuri 2010. Hapa dawa ni "regime change". Hakuna jingine.
Mama Lao,we acha tuu. Hayo ya 2010 bado hadithi tuu kwetu Africa kwani umesahau ya Zimbabwe na Kenya? tena afadhali hao wana mshipa wa aibu kidogo sio hapa NCHI ambayo "ILI ULE MPAKA ULIWE" Na watu wanaandaa maandamano kupongeza upuuzi.
Lakini njia nyingine itapatikana tuu. LEO BAADA YA USANII WA PM KWA KWELI NIMEWAKUMBUKA SANA VIJANA WA ZAMANI KAMA, THOMAS SANKARA NA JERRY RAWLING NA WALIYOYAFANYA WAKATIWAO.
 
Huu ni mtihani mwingine kwa Bunge, je wabunge wetu mtasimama upande wetu walio wengi? au mtasimama kwa kikundi cha watu wachache?, kiufupi ni kwamba Pinda kaonesha wazi kwamba serikali haijatekeleza maazimio ya Bunge, kwa hiyo ni jukumu lenu wabunge kuiwajibisha serikali kwa kutokutekeleza maazimio ya bunge!. mathalani Bunge liliagiza wale wote wa TATAKURU waliojihusisha na kuisafisha Richmond wawajibishwe, Pinda anatoa majibu eti tayari wamewaandikia barua ya kujieleza, je huo ndo uwajibishaji?
 
Hivi mlitegemea waliokuwemo wasiwemo ? Haiwezekani kwa hilo hawa wanaoandaa kamti na tume inaonyesha wazi wazi na wao wana mkono katika ubadhirifu,na haya mahotuba marefu ya kusema tumejifunza ni dalili tosha za kulindana kwani wote waliokwiba na wanaounda kamati walikuwemo katika chombo kimoja.

Dalili zote zinaonyesha kuwa wahusika ni waliokuwemo kwenye Serikali ndio kama tunavyoona kuwa hakuna hitimisho linaloeleweka ,baada ya kamati kunaundwa timu.
 
2010,hakuna kitu ccm washinda kwa kishindo,dawa ni kuzomea tu lika wapitapo,kuanzia raisi mpaka mfagizi wake.
KT hiyo ndiyo silaha sahihi kabisa ya mtu mnyonge. Hivi karibuni mawaziri walizomewa sana wakati wa kuisifia Bajeti yao mbovu 2007/8 mpaka wakachanganyikiwa.Mwisho wa maneno ni pale BM alipopewa za uso na vijana ndio tulipofahamu kuwa KUZOMEA ni silaha kali na yenye maumivu kuliko jiwe.
 
Wakuu,

Mie kwa upeo wangu nadhani Pinda ameongea kwa niaba ya serikali na tusimlaumu yeye.Kimsingi hoja ni nzuri na tatizo tulilo nalo sisi(siyo mimi).tunataka lile tunalotaka ndilo liwe wakati haiwezekani.

Mwanakijiji alishawaomba sana muda mrefu,Mwadhirie nchi ila mkang'ang'ana nao.Hii nchi ndivyo ilivyo na mie napenda tu tuendelee kuwa jinsi tulivyo sababu tunapenda sana maisha ya haraka.
 
Sintoshangaa wananchi wakiandamana KUPONGEZA majibu mazuri ya Waziri mkuu kwenye utekelezaji wa kamati ya Mwakyembe.....ina kera ina udhi mpaka basi...... raisi akiwa kihiyo na serikali yote....Jamani Pinda nilijua ungetoka kwa style ingine lakini uchunguzi bado unaendelea na watuhumiwa wamepelekewa barua za kujieleza ni dhahiri hakuna kilicho fanyika...Kuna haja gani ya kubwabwaja kwa masaa 3 na ushee ukiongea pumba Mh raisi wa Jamhuri? inasikitisha sana wadanganyika wenzangu..
 
MAONI

Nadhani tunahitaji ripoti nyingine titled "MATOKEO YA UTEKELEZAJI WA MAPENDEKEZO YA WAZIRI MKUU KWA WIZARA NA TAASISI MBALIMBALI ZA SERIKALI KUHUSU KUWACHULIA HATUA,WALIOHUSIKA NA MKATABA WA RICHMOND KWA KULIINGIZIA HASA TAIFA.Maana ripoti hii imetoa majibu sahihi kwenye mambo yanayohusu sheria (yaani marekebisho ya sheria na taratibumbalimbali) ila kwenye kuwawajibisha watu bado imeendelea kuahidi.

Kama serikali katika kipindi cha miezi sita au zaidi imeshindwa kuchukua hatua ilihali watu walishajieleza 14 days ago,je hapo tutarajie nini?Hivi inachukua siku ngapi kwa mtu ambaye amewkisha wasilisha maelezo yake ndani ya siku 14 kupitia hayo maelezo yake na kutoa maamuzi,mf.kama kufukuzwa kazi au asifukuzwe kazi?tena basi maamuzi yenyewe ni ya kinidhamu tu.Hatupingi natural justice,natural justice imekwisha fanyika kwa wao kupata nafasi ya kujieleza ambayo wameitumia sasa,kilichobaki ni watoa maamuzi,na watoa maamuzi wamekaa kimya so what next?

[/QUOTE]

Hapa yeye mwenyewe mtuhumiwa,je unadhani atatoa majibu gani?yeye mwenyewe atoe opinion kwenye jambo ambalo anatua na yeye linam-implicate,la thubutu hata ningekuwa mimi ningepiga chenga tu,kwani akishauri wafunguliwe mashtaka ya jinai,tayari yeye mwenyewe anajifunga kuwa hilo hakuliona anapotoa ushauri?Sipingi ofisi hii kuombwa ushauri,lakini ingekuwa hivyo tu iwapo mwanyika angekuwa suspended pending kutolewa kwa hii ripoti.

Again this is a crap.
Mtuhumiwa tena apewe opoortunity ya ku-comment?
:

Yaani Hose mtuhumiwa halafu unategemea huyo huyo awawajibishe watuhumiwa wenzake,yaani waliochini yake awandikie baru wajitete kwake,na yeye kuwachukulia hatua huku naye akisubiria kuchukuliwa hatua kutokana na utetezi alioutoa kuhusu kuhusika kwake kuifagilia richmond.Hilo conflict of interest hapo si kidogo,yaani hii inanikumbusha verse moja ya kwenye bible inayosema "jamaa mmoja alikuwa karani wa bwana wake na alikuwa mkali sana watu walikuwa wanamhara kwa kukusanya madeni na ukatili aliokuwa nao,sasa siku moja alipojua kuwa karibu cheo chake kitaota nasi akaamua kuwatafuta wale wadeni wa bwana wake na kuwaambia,wewe unadaiwa ngapi na bwana wangu,kama unadaiwa 90 andika 50,kama unadaiwa 50 andika 20,na kama unadaiwa 20 andika 10,ili jamaa kitakapoota nyasi hawa jamaa waje kumpa fadhila.Hivi ndivyo atakavyofanya huyu jamaa ili waliochini yake wasiandike maelezo yatakayomu-implicate.

Haya na mengine mengi ambayo yamejionesha dhahiri hapa,yanaendelea kuitafuna Tanzania na kutupiga changa la macho watanzania.Ni dhahiri kuwa ripoti tunayosubiri sasa (sijui wabunge kama watalibaini hili) ni ile sasa ya hatua zilizochukuliwa na hizo mamlaka baada ya kupitia utetezi wa hao watuhumiwa,na taarifa kumpatia waziri mkuu naye aiwasilishe bungeni tena. Kwa maoni yangu waziri mkuu hajamaliza kazi aliyotumwa na bunge.
 
MAONI YA TAARIFA YA PINDA KWA UFUPI.

Nadhani tunahitaji ripoti nyingine titled "MATOKEO YA UTEKELEZAJI WA MAPENDEKEZO YA WAZIRI MKUU KWA WIZARA NA TAASISI MBALIMBALI ZA SERIKALI KUHUSU KUWACHULIA HATUA,WALIOHUSIKA NA MKATABA WA RICHMOND KWA KULIINGIZIA HASA TAIFA.Maana ripoti hii imetoa majibu sahihi kwenye mambo yanayohusu sheria (yaani marekebisho ya sheria na taratibumbalimbali) ila kwenye kuwawajibisha watu bado imeendelea kuahidi.

Kama serikali katika kipindi cha miezi sita au zaidi imeshindwa kuchukua hatua ilihali watu walishajieleza 14 days ago,je hapo tutarajie nini?Hivi inachukua siku ngapi kwa mtu ambaye amewkisha wasilisha maelezo yake ndani ya siku 14 kupitia hayo maelezo yake na kutoa maamuzi,mf.kama kufukuzwa kazi au asifukuzwe kazi?tena basi maamuzi yenyewe ni ya kinidhamu tu.Hatupingi natural justice,natural justice imekwisha fanyika kwa wao kupata nafasi ya kujieleza ambayo wameitumia sasa,kilichobaki ni watoa maamuzi,na watoa maamuzi wamekaa kimya so what next?

Quote:
Wamiliki wa Richmond Development Company LLC na Richmond Development Company (T) Ltd wafunguliwe kesi ya jinai mara moja kwa udanganyifu na ujanja wa kuiibia Serikali"

HATUA ZILIZOCHUKULIWA:
Awali, Serikali ilimuagiza Mwanasheria Mkuu wa Serikali kupitia kwa makini Taarifa ya Kamati Teule ya Bunge; pamoja na kumbukumbu zote za Mjadala wa suala hili Bungeni, ili kubaini maeneo yenye Makosa ya Jinai ambayo yangewezesha Serikali kuwafungulia mashtaka Wamiliki wa Kampuni ya Richmond Development Company LLC na Richmond Development Company (T) Ltd na Wawakilishi wao.

[/quote
]

Hapa yeye mwenyewe mtuhumiwa,je unadhani atatoa majibu gani?yeye mwenyewe atoe opinion kwenye jambo ambalo anatua na yeye linam-implicate,la thubutu hata ningekuwa mimi ningepiga chenga tu,kwani akishauri wafunguliwe mashtaka ya jinai,tayari yeye mwenyewe anajifunga kuwa hilo hakuliona anapotoa ushauri?Sipingi ofisi hii kuombwa ushauri,lakini ingekuwa hivyo tu iwapo mwanyika angekuwa suspended pending kutolewa kwa hii ripoti.

Quote:
Ofisi yangu tayari imepata maoni ya Wanasheria mbalimbali wakiwemo Mheshimiwa Andrew Chenge, Mbunge wa Bariadi Magharibi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mstaafu; Mheshimiwa Johnson Mwanyika - Mwanasheria Mkuu wa Serikali; na Mheshimiwa Nimrod Mkono Mbunge wa Musoma Vijijini. Maoni yao yatatusaidia sana katika kuimarisha Mfumo wetu wa Majadiliano ya Mikataba. Naomba nitumie nafasi hii kuwashukuru Waheshimiwa Wabunge hawa kwa maoni na ushauri wao mzuri sana
.

Again this is a crap.
Mtuhumiwa tena apewe opoortunity ya ku-comment?

Quote:
Ili kutekeleza Azimio hili, Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU amepelekewa barua ya kutakiwa kujieleza na Mamlaka yake ya Nidhamu ambaye ni Katibu Mkuu Kiongozi. Vilevile, Wasaidizi walio chini yake walioshiriki katika zoezi la uchunguzi, nao wametakiwa kutoa maelezo yao kwa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU ambaye ndiye Mamlaka yao ya Nidhamu. Hii ni kwa kuzingatia Misingi ile ile ya Kanuni Asilia ya Haki ya Kusikilizwa Kwanza (Natural Justice).

Hata hivyo, kwa kuzingatia mazingira ya shauri hili, Katibu Mkuu Kiongozi ataamua juu ya utaratibu mzuri wa hatua za nidhamu dhidi ya Wasaidizi wote wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU waliohusika katika suala hili.

Baadhi ya maeneo ambayo Mkurugenzi Mkuu na Wasaidizi wake wamepelekewa barua wajieleze ni yafuatayo
:

Yaani Hose mtuhumiwa halafu unategemea huyo huyo awawajibishe watuhumiwa wenzake,yaani waliochini yake awandikie baru wajitete kwake,na yeye kuwachukulia hatua huku naye akisubiria kuchukuliwa hatua kutokana na utetezi alioutoa kuhusu kuhusika kwake kuifagilia richmond.Hilo conflict of interest hapo si kidogo,yaani hii inanikumbusha verse moja ya kwenye bible inayosema "jamaa mmoja alikuwa karani wa bwana wake na alikuwa mkali sana watu walikuwa wanamhara kwa kukusanya madeni na ukatili aliokuwa nao,sasa siku moja alipojua kuwa karibu cheo chake kitaota nasi akaamua kuwatafuta wale wadeni wa bwana wake na kuwaambia,wewe unadaiwa ngapi na bwana wangu,kama unadaiwa 90 andika 50,kama unadaiwa 50 andika 20,na kama unadaiwa 20 andika 10,ili jamaa kitakapoota nyasi hawa jamaa waje kumpa fadhila.Hivi ndivyo atakavyofanya huyu jamaa ili waliochini yake wasiandike maelezo yatakayomu-implicate.

Haya na mengine mengi ambayo yamejionesha dhahiri hapa,yanaendelea kuitafuna Tanzania na kutupiga changa la macho watanzania.Ni dhahiri kuwa ripoti tunayosubiri sasa (sijui wabunge kama watalibaini hili) ni ile sasa ya hatua zilizochukuliwa na hizo mamlaka baada ya kupitia utetezi wa hao watuhumiwa,na taarifa kumpatia waziri mkuu naye aiwasilishe bungeni tena. Kwa maoni yangu waziri mkuu hajamaliza kazi aliyotumwa na bunge
 
Nimechoka kabisa , inaonekana jinsi nchi hii inavyoongozwa kwa rimot control na Mafisadi.
 
Ah! Msiniambie huko nako mlikuwa na mategemeo na matumaini??! Yaani nyie bado hamjachoka tu na hawa jamaa? Ndio kusema mnasubiri mpaka wawatoboe macho ndio muamini kwamba kazi waliyo nayo hawaiwezi?

Kubwa kuliko yote, yaani nyie mlitaka jambazi aibe kisha ajikamate mwenyewe? Tukubali tu kwamba, madamu tunaamini kamba hakuna mbadala na hatuwezi kuachana na CCM kwa sababu damu ni nzito kuliko maji, basi tuendelee na masebusebu yetu hivyo hivyo tukisubiri muujiza wa "Bwana"!
 
...sasa kama Pinda sio serikali sijui sasa Serikali ni nani?
 
...sasa kama Pinda sio serikali sijui sasa Serikali ni nani?

Mwambie asome ibara ya sita(6) ya katiba ajue serikali ni nani?
kwa faida tu nanukuu hapa.

Pinda mwenyewe pia ndio serikali,hakuna suala la niaba tena hapo.
 
Dalili zote zinaonyesha kuwa wahusika ni waliokuwemo kwenye Serikali ndio kama tunavyoona kuwa hakuna hitimisho linaloeleweka ,baada ya kamati kunaundwa timu.

Ni kweli mkuu. Mwakyembe na kamati yake waliwataja kwa majina watuhumiwa wote. kamati ile wala haikuwa na muda mrefu lakini waliweza kubaini makosa yaliyofanywa na watuhumiwa hao. Inashangaza kuwa miezi sita baadaye, serikali, licha ya kuwa na majina ya watuhumiwa na tuhuma zao, bado haijaenda mbali katika kutekeleza kile ilichoagizwa na Bunge.
Huku ni kulindana kwa kiwango cha juu kabisa
 
Jamaa walileta mitambo bomu, lakini Dowans wakalipwa US$ 4+ million. Ama kweli Tanzania shamba la bibi. Mijamaa (Richmond) imejipatia mtaji safi wa kuendeleza biashara yao ya Printing, na labda kuanzisha nyingine.

I still doubt about the $4m price kwa transportation ya hiyo mitambo hebu fikiria Boeing 747 ambayo ina maximum passenger capacity ya 440 passengers with a return ticket ya Dubai (maana huko ndiko hiyo mitambo ilikotoka) at $600 price unapata $264,000 humo kuna insurance za abiria na crew, mishahara ya crew,msosi, kinywaji etc. Sidhani kama insurance ya mizigo could be as high as that of human beings and therefore cargo transport could be a bit cheaper.

Kwa mtazamo huu basi it will take 18 return trips (Dubai- Dar- Dubai) ya boeing 747 kupata hiyo bei waliyolipwa Dowans US$ 4,865,000.

Serikali inajibu kienyeji na kirahisi rahisi tu eti hayo ni malipo halali. Are we really siriaz??????
 
Wakuu naomba tuingie hapa http://www.shipping-worldwide.com/ kwa details zaidi ya gharama ya air cargo. Hii serikali inatutania na inatuona ni mabwege bwege wa kutupwa.

Kuna haja ya kuwa na special snipers kueliminate kizazi cha viongozi wetu wabovu............ I smell a rat, blood, and hush!!!! the...of......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…