Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Mojawapo ya dalili kwamba huwezi kufaa kuongoza hata familia ni roho mbaya na visasi! Kisingizio kwamba wewe ni mwanaume ndio maana watu wanakudharau kwa hiyo unaamua kutumia upanga ukijua unawakomoa, hakiwezi kusaidia lolote.
Familia nyingi zinazoongozwa na mwanaume zinatabia ya kudeka. Hazipendi changamoto wala kukosolewa! Mitoto ya kike inayokaa jikoni na baba yao Kila siku anapoandaa chakula cha mama yao huwa haina akili maana baba yao huijaza ujinga, haijui kugangamala !
Ona sasa hata kifua cha haya mambo madogo mnakosa. Kila anayewakosoa mnaona anafaa kuuliwa au kutupwa jela ! Hasira za mkizi, Kuna libaba limekaa linasisitiza watu wasipewe dhamana, hata katika mambo ambayo ni haki yao !
Naona Kuna wengine wanazunguka nchi nzima kushinikiza watu wasipewe dhamana labda waende jikoni huku wanatambaa wakampigie magoti yule mbaba aliyeko jikoni, mbaba huyu katuharibia watoto sasa nchi nzima Wanadeka tu. Wabunge wanadeka, wakuu wa mikoa wanadeka, wakuu wa wilaya wanadeka kwa sababu wanakaa sana jikoni kupiga umbea na baba yao, tabia zao za kike hazipo Tena wamebaki majanaume tu ! Ya Kiiza Besyige karibia yatamkuta Dkt. Slaa. CCM haitufai hata kwa dakika Moja