Mizengwe ya dhamana ya Dkt. Slaa ni ishara tosha kujua CCM haifai kupewa madaraka tena. Tutatembelea magoti, CCM hii hakuna haki za kisheria

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Mojawapo ya dalili kwamba huwezi kufaa kuongoza hata familia ni roho mbaya na visasi! Kisingizio kwamba wewe ni mwanaume ndio maana watu wanakudharau kwa hiyo unaamua kutumia upanga ukijua unawakomoa, hakiwezi kusaidia lolote.

Familia nyingi zinazoongozwa na mwanaume zinatabia ya kudeka. Hazipendi changamoto wala kukosolewa! Mitoto ya kike inayokaa jikoni na baba yao Kila siku anapoandaa chakula cha mama yao huwa haina akili maana baba yao huijaza ujinga, haijui kugangamala !

Ona sasa hata kifua cha haya mambo madogo mnakosa. Kila anayewakosoa mnaona anafaa kuuliwa au kutupwa jela ! Hasira za mkizi, Kuna libaba limekaa linasisitiza watu wasipewe dhamana, hata katika mambo ambayo ni haki yao !

Naona Kuna wengine wanazunguka nchi nzima kushinikiza watu wasipewe dhamana labda waende jikoni huku wanatambaa wakampigie magoti yule mbaba aliyeko jikoni, mbaba huyu katuharibia watoto sasa nchi nzima Wanadeka tu. Wabunge wanadeka, wakuu wa mikoa wanadeka, wakuu wa wilaya wanadeka kwa sababu wanakaa sana jikoni kupiga umbea na baba yao, tabia zao za kike hazipo Tena wamebaki majanaume tu ! Ya Kiiza Besyige karibia yatamkuta Dkt. Slaa. CCM haitufai hata kwa dakika Moja
 
Hapo linachezwa picha la Kihindi Kati ya Slaa na ccm ili wamrudishe kwenye chama chake cha Zamani.
Kwa hili watafanikiwa,sababu mipango inaenda kama ilivyo pangwa.
Akili mingi mtu wangu
 
Moja wapo ya dalili kwamba huwezi kufaa kuongoza hata familia ni roho mbaya na visasi ! Kisingizio kwamba wewe ni mwanaume ndio maana watu wanakudharau kwa hiyo unaamua kutumia upanga ukijua unawakomoa ,hakiwezi kusaidia lolote ! Familia nyingi zinazoongozwa na mwanaume zinatabia ya kudeka ! Hazipendi changamoto Wala kukosolewa ! Mitoto ya kike inayokaa jikoni na baba yao Kila siku anapoandaa chakura Cha mama yao huwa Haina akili ;; maana baba yao huijaza ujinga ,haijui kugangamala ! Ona sasa hata kifua Cha haya mambo madogo mnakosa !! Kila anaewakosoa mnaona anafaa kuuliwa au kutupwa jela ! Hasira za mkizi ,Kuna libaba limekaa linasisitiza watu wasipewe dhamana ,hata katika mambo ambayo ni haki yao ! Naona Kuna mimama mingine inazunguka nchi nzima kushinikiza watu wasipewe dhamana labda waende jikoni huku wanatambaa wakampigie magoti yule mmbaba aliyeko jikoni ,mmbaba huyu katuharibia watoto sasa nchi nzima Wanadeka tu ! Wabunge wanadeka,wakuu wa mikoa wanadeka,wakuu wa wilaya wanadeka ; kwa sababu wanakaa sana jikoni kupiga umbeya na baba yao ,tabia zao za kike hazipo Tena wamebaki majanaume tu ! Ya kiiza besyige karibia yatamkuta dk slaa ! Ccm haitufai hata kwa dakika Moja
Wakati anapanua domo lake kutweza utu wa watu mlisikia raha sana eeh?? Ule uzee kupakazia watu na kuharibu heshima yao mnaona raha ila kulipia gharama zake mnaumia sio?? Bado na Lissu huu mwaka maji wataita mma!!

Tena naona anachofanyiwa ni kidogo ingekua mimi angetafuna jongoo na kukalia kijinga cha moto.
 
Na wewe imesaidia nini kwa kuloloma tu mitandaoni? PUMBAVU!
 
Duh 🙄 !
 
Wakati anapanua domo lake kutweza utu wa watu mlisikia raha sana eeh?? Ule uzee kupakazia watu na kuharibu heshima yao mnaona raha ila kulipia gharama zake mnaumia sio?? Bado na Lissu huu mwaka maji wataita mma!!

Tena naona anachofanyiwa ni kidogo ingekua mimi angetafuna jongoo na kukalia kijinga cha moto.
CCM nao wangekuwa hawatwezi utu wa wengine ingependeza sana. !
Lakini cha ajabu wanawatweza utu wao mpaka wazee waliojiishia wanaosubiri visiku siku vyao vya kuishi viishe wakalale jumla 😳🙄!
Salaaleee , kweli Duniani tunapita tu lakini wengine hawajui hilo ! 😱
 
Slaa angejua duniani tunapita asingeharibu heshima ya Mbowe kiasi kile… natamani ningekua nyapara wake nimshikishe adabu.
 
Moja wapo ya dalili kwamba huwezi kufaa kuongoza hata familia ni roho mbaya na visasi ! Kisingizio kwamba wewe ni mwanaume ndio maana watu wanakudharau kwa hiyo unaamua kutumia upanga ukijua unawakomoa ,hakiwezi kusaidia lolote ! Familia nyingi zinazoongozwa na mwanaume zinatabia ya kudeka ! Hazipendi changamoto Wala kukosolewa ! Mitoto ya kike inayokaa jikoni na baba yao Kila siku anapoandaa chakura Cha mama yao huwa Haina akili ;; maana baba yao huijaza ujinga ,haijui kugangamala ! Ona sasa hata kifua Cha haya mambo madogo mnakosa !! Kila anaewakosoa mnaona anafaa kuuliwa au kutupwa jela ! Hasira za mkizi ,Kuna libaba limekaa linasisitiza watu wasipewe dhamana ,hata katika mambo ambayo ni haki yao ! Naona Kuna mimama mingine inazunguka nchi nzima kushinikiza watu wasipewe dhamana labda waende jikoni huku wanatambaa wakampigie magoti yule mmbaba aliyeko jikoni ,mmbaba huyu katuharibia watoto sasa nchi nzima Wanadeka tu ! Wabunge wanadeka,wakuu wa mikoa wanadeka,wakuu wa wilaya wanadeka ; kwa sababu wanakaa sana jikoni kupiga umbeya na baba yao ,tabia zao za kike hazipo Tena wamebaki majanaume tu ! Ya kiiza besyige karibia yatamkuta dk slaa ! Ccm haitufai hata kwa dakika Moja
Una hoja nzuri. Jaribu kuweka paragraph usomeke vizuri.
 
Hapo linachezwa picha la Kihindi Kati ya Slaa na ccm ili wamrudishe kwenye chama chake cha Zamani.
Kwa hili watafanikiwa,sababu mipango inaenda kama ilivyo pangwa.
Akili mingi mtu wangu
Acha bwana
 
Wakati anapanua domo lake kutweza utu wa watu mlisikia raha sana eeh?? Ule uzee kupakazia watu na kuharibu heshima yao mnaona raha ila kulipia gharama zake mnaumia sio?? Bado na Lissu huu mwaka maji wataita mma!!

Tena naona anachofanyiwa ni kidogo ingekua mimi angetafuna jongoo na kukalia kijinga cha moto.
Ukilelewa jikoni lazima uwe na tabia za aina hii
 
Kama slaa tu alishakua mpaka balozi hapelekwi mahakamani kisa eti hawana gari, hao watuhumiwa ambao hata hawajulikani kesi zao zinasikilizwa kweli, au ndo kukaa mahabusu miaka 9?
 
Mojawapo ya dalili kwamba huwezi kufaa kuongoza hata familia ni roho mbaya na visasi! Kisingizio kwamba wewe ni mwanaume ndio maana watu wanakudharau kwa hiyo unaamua kutumia upanga ukijua unawakomoa, hakiwezi kusaidia lolote.

Familia nyingi zinazoongozwa na mwanaume zinatabia ya kudeka. Hazipendi changamoto wala kukosolewa! Mitoto ya kike inayokaa jikoni na baba yao Kila siku anapoandaa chakula cha mama yao huwa haina akili maana baba yao huijaza ujinga, haijui kugangamala !

Ona sasa hata kifua cha haya mambo madogo mnakosa. Kila anayewakosoa mnaona anafaa kuuliwa au kutupwa jela ! Hasira za mkizi, Kuna libaba limekaa linasisitiza watu wasipewe dhamana, hata katika mambo ambayo ni haki yao !

Naona Kuna wengine wanazunguka nchi nzima kushinikiza watu wasipewe dhamana labda waende jikoni huku wanatambaa wakampigie magoti yule mbaba aliyeko jikoni, mbaba huyu katuharibia watoto sasa nchi nzima Wanadeka tu. Wabunge wanadeka, wakuu wa mikoa wanadeka, wakuu wa wilaya wanadeka kwa sababu wanakaa sana jikoni kupiga umbea na baba yao, tabia zao za kike hazipo Tena wamebaki majanaume tu ! Ya Kiiza Besyige karibia yatamkuta Dkt. Slaa. CCM haitufai hata kwa dakika Moja
Kwani huyo mzeee ana impact gani kwa siasa za tanzania kwa karne hiii
 
Mahakimu wanapigiwa simu toka juu.. Huu ni mskba mahakama kuingiliwa na wanasisa
 
Back
Top Bottom