The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Inasemekana imeandikwa na M/kiti wa mtaa wa Mwenge, Halmashauri ya wilaya ya Kinondoni DSM.
Uandishi wenyewe ni wa kibabe na usio na weledi hata chembe. Eti "...HII NI AMRI SIYO OMBI..."
Hawa MATAGA hawataki kujifunza kwa hiari nadhani...
Hawa ni wazi kuwa ni "kenge" ambaye kujifunza kwake ni mpaka kipigo cha kumtoa damu masikioni na machoni na puani....
Ni vyema mapigo yakaongezwa ili wajifunze in a hard way.