Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Watu wamekataa kabisa kuomboleza ni kwa nini walazimishwe? Joto la jana kwenye mabaa limewachoma. Iwe ni fundisho kwa viongozi wote. Mliambiwa watu wanavuja damu sema wanaogopa kusema. Sasa wameonesha wazi. Acheni wale mvinyo na nyama choma na kamziki.
Mimi mzalendo mzee nimejifungia ndani nasoma mtandao ilivyolipuka na reaction za watu ninaowafahamu. Amazing incidence.
Mimi mzalendo mzee nimejifungia ndani nasoma mtandao ilivyolipuka na reaction za watu ninaowafahamu. Amazing incidence.