The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Mbona kwa Mkapa hatukulazimishwa?Come on
Wawaache watu wafanye mambo yao bana.
Wasilazimishe watu waomboleze kama hawataki.
Waache watu wafurahie bhana..Mbona kwa Mkapa hatukulazimishwa?
Mwenyekiti ni dikteta sana hadi nimecheka
Mwaka 1994 alipokufa Habyarimana rais wa Rwanda kuna wanyarwanda kadhaa waliokua wakiishi mkoa wa Mwanza walikutana na kufanya tafrija kusherehekea kifo chake, polisi wakaenda kuwakamata kwa kosa la kushangilia kifo hicho, ila Mwalimu Nyerere alijitokeza na kuwataka polisi wawaachie mara moja kwakua hakuna kosa walilofanya, akiwauliza polisi kwani wewe anapokufa adui yako huwezi kushangilia? waacheni watu wafurahie kikubwa wasivunje Sheria
R.I.P my hero... dr. Ramadhan mtoro Ongala.Inasambaa sana na kwa kasi mitandaoni.
Inasemekana imeandikwa na M/kiti wa mtaa wa Mwenge, Halmashauri ya wilaya ya Kinondoni DSM.
Uandishi wenyewe ni wa kibabe na usio na weledi hata chembe. Eti "...HII NI AMRI SIYO OMBI..."
Hawa MATAGA hawataki kujifunza kwa hiari nadhani...
Hawa ni wazi kuwa ni "kenge" ambaye kujifunza kwake ni mpaka kipigo cha kumtoa damu masikioni na machoni na puani....
Ni vyema mapigo yakaongezwa ili wajifunze in a hard way.