Mizimu inaweza 'kukuona' ukiwa kwenye faragha:"

Mizimu inaweza 'kukuona' ukiwa kwenye faragha:"

Huo sio mzimu😀😀😀
Kijana anafanya masihara 😂😂😂
Uzuri ni kwamba haya mambo yapo sana na yakiamua kukuvaa ndio utajua.

Kuna jamaa alikuwa ni bitoz nyangema na ana undugu na boss fulani wa zamani wa TISS yamemvaa haya mambo inatakiwa awe mzee wa kilinge.

Mambo yote ya kidunia hayaendi ameamua kuanza kujifunza Uganga sasa hivi na baada ya hapo hata baadhi ya mambo yamekubali
 
Ni roho za watu waliokufa, hususan mababu au wahenga, ambao kulingana na itikadi na tamaduni nyingi za Kiafrika wanaaminika kuendelea kuishi katika ulimwengu wa roho baada ya miili yao ya nyama kufa

Siku nyingine ukiwa na mizimu tupigie selfie....just to remind you, shetani ambaye ni baba wa uongo, ana vibweka vingi sana.

Na anajua kucheza na akili za wanadamu
 
Siku nyingine ukiwa na mizimu tupigie selfie....just to remind you, shetani ambaye ni baba wa uongo, ana vibweka vingi sana.

Na anajua kucheza na akili za wanadamu
Mambo ya mizimu, maono, au viumbe wa kiroho mara nyingi yamejaa mafumbo na changamoto kubwa ya kutofautisha ukweli na udanganyifu, hasa kwa sababu akili ya mwanadamu inaweza kushawishiwa au kudanganywa kwa urahisi kupitia hofu, matamanio, au mambo yasiyoelezeka.
 
Napenda kujipongeza kua karibu n mizimu y ukoo wng maana inanipa maisha. Faida naona mno
Kazi ni kipimo cha utu
Mkuu ni uhakika mizimu inasaidia kwa namna fulani

Nakumbuka mwaka 2007 kuna mtu wangu wa karibu sana alinitegea dawa za kichawi ili nikiruka zile dawa nipotee au niwe msukule yeye awe na hela

Usiku ule jamaa alichezea bakola za kutosha mpaka akasema alikuwa anataka kunitoa kafara apate utajiri. Nini kilisababusha WAZEE 🤗

Kuna kipindi fulani tena kuna jamaa aliniwekea sumu kwenye Azam Cola ile nife lakini kwa siku tatu alikuwa halali akizima taa tu anatokewa na joka 🐍 kubwa linamwambia kwanini unataka kumuua fulani ? Amekukosea nini ? Nenda kamuombe msamaha

Haya ni kweli wala sidanganyi
 
Sio kwenye faragha tu, hata ukiwa na mpango wa kuingia kwenye faragha na mtu, inaweza ikakuambia huyo mtu ni nani, kama ni muuzaji, mchawi, kaumia nk
 
Mzimu ni nini?
1. Roho za Wafu: Hizi ni roho, nafsi, au vivuli vya watu (hasa mababu au ndugu) waliofariki dunia zamani.
Katika imani za jadi, inaaminika kuwa mwili pekee ndio unaokufa, lakini nafsi inaendelea kuishi katika ulimwengu wa kiroho na inaweza kuathiri maisha ya waliobaki duniani.

2. Mahali pa Kutambikia:
Neno hili pia hutumika kutaja eneo maalum ambapo watu huenda kufanya matambiko, kutoa sadaka, au kuwasiliana na roho za waliokufa.
Maeneo haya mara nyingi huwa chini ya miti mikubwa (kama mbuyu au mkuyu), kwenye mapango, au makaburini.

3. Kivuli cha Sura ya Marehemu: Hali ya kutokea kwa sura au taswira ya mtu aliyefariki dunia, ama kupitia ndoto au maono
 
wanakuona kwa uwazi kabisa. Lakini upande wa pili hauoni kwa macho ya nyama kama yetu: huona kupitia aura yako, mfumo wa fikra zako, na utofauti wa mwanga.
Kwa mtu ambaye tayari ameuacha mwili, wako unaonekana kama umbo la nishati inayong'aa ikitembea gizani."

Faragha ni moja ya nyakati ambazo tunatoa na kubadilishana nishati nyingi zaidi, na katika ulimwengu wa kiroho (astral plane) inakuwa kama kimbunga cha mwanga na joto.

Watu wawili wanapoungana, chakra ya msingi (root) na chakra ya uzazi (sacral) hupanuka na kutoa nishati muhimu kwa wingi, kiini cha hila kinachofanya kila kitu kilicho karibu nawe kionekane na kushikika kwa wale walio upande wa pili."

"Mizimu iliyonaswa duniani, ambayo bado imefungwa na ulimwengu huu, huona jambo hili kwa uwazi kabisa kwa sababu mwanga huo huwavutia kama nondo kwenye moto.
Bila kuwa na miili iliyobaki ili kuhisi chochote, husogea karibu na kutazama, wakijaribu kunyonya kiasi fulani cha mtikisiko huo wa nishati kupitia uingizaji wa asili (osmosis)."

"Habari njema ni jinsi viumbe wa mwanga wanavyolichukulia jambo hili. Waelekezi na walinzi wako nao pia huliona, lakini wanaheshimu nafasi yako takatifu.
Wanapohisi nishati hiyo ikiamka, hujiondoa wenyewe kutoka kwenye uwanja wako wa nishati ili kulinda faragha yako, na huingilia kati pale tu kitu fulani kinapojaribu kukusumbua."

Siku zote mimi husema hivi: mtikisiko wa nishati (frequency) ya muungano wenu ndio unaoamua ikiwa mtabaki mnekana wazi kwa mizimu iliyonaswa duniani au chini ya ulinzi wa walinzi wenu.
Mshiko wa hatia,(kumbato lililokosa hisia) au kulazimishwa, huacha mwili jumba ukiwa wazi bila ulinzi katika ulimwengu wa kiroho (subtle plane).

Upendo wa dhati huizingira chumba hicho hicho ndani ya kiputo cha mwanga kilichofungwa salama."

"Na unaposali usiku wa leo, waombee wale wanaohisi kutopendwa.
Mwombe Mungu awagubike kwa uchangamfu na tabasamu pale ambapo upendo wa kibinadamu umeshindwa.

Hakuna nafsi iliyoumbwa kuishi bila upendo.
Sali na waombee sana ili wakumbuke thamani yao
."


Mamaa Angel Nylon I will always be there for you💕
Braza umenikata stimu aisee utalipa nakwambia!
 
Mambo ya mizimu, maono, au viumbe wa kiroho mara nyingi yamejaa mafumbo na changamoto kubwa ya kutofautisha ukweli na udanganyifu, hasa kwa sababu akili ya mwanadamu inaweza kushawishiwa au kudanganywa kwa urahisi kupitia hofu, matamanio, au mambo yasiyoelezeka.

Kuna watu wengi wametapeliwa na kuliwa na hawa jamaa
 
1. Roho za Wafu: Hizi ni roho, nafsi, au vivuli vya watu (hasa mababu au ndugu) waliofariki dunia zamani.
Katika imani za jadi, inaaminika kuwa mwili pekee ndio unaokufa, lakini nafsi inaendelea kuishi katika ulimwengu wa kiroho na inaweza kuathiri maisha ya waliobaki duniani.

2. Mahali pa Kutambikia:
Neno hili pia hutumika kutaja eneo maalum ambapo watu huenda kufanya matambiko, kutoa sadaka, au kuwasiliana na roho za waliokufa.
Maeneo haya mara nyingi huwa chini ya miti mikubwa (kama mbuyu au mkuyu), kwenye mapango, au makaburini.

3. Kivuli cha Sura ya Marehemu: Hali ya kutokea kwa sura au taswira ya mtu aliyefariki dunia, ama kupitia ndoto au maono
Pia kwa ndugu zetu waroma (RC) huwa wanawakumbuka mizimu Yao kwa kutumia neno mtakatifu (st)mfano st Peter (Huu ni mzimu) na mifupa yake inakuwepo pale mbele kabisa kwa ajili ya ibada.
 
Back
Top Bottom