Mizimu

Mizimu

Kila binadamu aliyepo duniani ana watangulizi wake.. Baba, Mama, Babu, Bibi na kuendelea.. Watangulizi hawa wanaacha alama kwa kizazi chao kinachofuata.. Unaweza ukawa na sura yao, tabia zao, Jina lao na hata kufanana kwa makundi ya damu.. Watangulizi hawa wanaweza kukuachia alama ambazo huwezi kuziona kwa macho wala kufananisha.. Mfano kutembea na hata kucheka au kutabasamu..

Watangulizi hao ambao tunawaita mizimu kawaida wana uhalali mkubwa sana kwetu na wana nafasi kubwa sana katika maisha yetu hapa duniani.. Wewe uliyepo hapa duniani huna nafasi ya kuishinda mizimu ya kwenu mpaka pale utakapovunja muunganiko wako na mizimu hiyo..(hili sitaliongelea)

Binadamu anapozaliwa moja kwa moja anakuwa mali ya mizimu hiyo.. Mizimu ina uwezo wa kuzuia mafanikio yako.. Mizimu inaweza kikupa mafanikio.. Mizimu inaweza kukuchagulia kazi ya kufanya na pia inaweza kukuzuia kufanya kazi fulani.. Mizimu inaweza kukuepusha na majanga na pia kukuletea majanga.. Hii itatokana na ufahamu wako kuhusu mambo hayo..

Kutokujua habari za mizimu sio suluhisho la wewe kuokoka na nguvu za mizimu.. Naahirisha kwa kusema kuwa mizimu ipo na ina nguvu kubwa sana katika kuathiri maisha ya mtu aliye hai..

NTAENDELEA
 
Watu wakifa hawawi mizimu. "Mizimu" ni mashetani ya kijini yanayokuja kwa wajihi wa watu ambao walishakufa na watu wakadhani ndio wenyewe. Unakuta mtu anamuona mtu wake wa karibu kama baba, mama, mke, mume, mtoto, dada, kaka, sheikh wake au rafiki ambaye kashafariki au kusikia sauti yake kabisa, akadhani ni mzimu, kumbe ni shetani wa kijini anamchezea tu na kutaka kumdanganya na kutaka kumpoteza. Mizimu ni Majini.
Labda mzimu wa babaako ndio jini.

Kama huna uelewa na kitu, tulia kaka.
 
Kila binadamu aliyepo duniani ana watangulizi wake.. Baba, Mama, Babu, Bibi na kuendelea.. Watangulizi hawa wanaacha alama kwa kizazi chao kinachofuata.. Unaweza ukawa na sura yao, tabia zao, Jina lao na hata kufanana kwa makundi ya damu.. Watangulizi hawa wanaweza kukuachia alama ambazo huwezi kuziona kwa macho wala kufananisha.. Mfano kutembea na hata kucheka au kutabasamu..

Watangulizi hao ambao tunawaita mizimu kawaida wana uhalali mkubwa sana kwetu na wana nafasi kubwa sana katika maisha yetu hapa duniani.. Wewe uliyepo hapa duniani huna nafasi ya kuishinda mizimu ya kwenu mpaka pale utakapovunja muunganiko wako na mizimu hiyo..(hili sitaliongelea)

Binadamu anapozaliwa moja kwa moja anakuwa mali ya mizimu hiyo.. Mizimu ina uwezo wa kuzuia mafanikio yako.. Mizimu inaweza kikupa mafanikio.. Mizimu inaweza kukuchagulia kazi ya kufanya na pia inaweza kukuzuia kufanya kazi fulani.. Mizimu inaweza kukuepusha na majanga na pia kukuletea majanga.. Hii itatokana na ufahamu wako kuhusu mambo hayo..

Kutokujua habari za mizimu sio suluhisho la wewe kuokoka na nguvu za mizimu.. Naahirisha kwa kusema kuwa mizimu ipo na ina nguvu kubwa sana katika kuathiri maisha ya mtu aliye hai..

NTAENDELEA
Leta nonda papaa.
 
Waafrika marehemu wetu tunawaita mizimu Wazungu marehemu wao wanawaita watakatifu
 
Nasubiri.
Katika ulimwengu kuna tawala nyingi sana.. Zipo tawala zinazoonekana na tawala zisizoonekana.. Tawala zinazoonekana ni hizi za marais, wakuu wa mikoa, wilaya nk.. Tawala zisizoonekana ndio utakuta yapo majini, mapepo mizimu na kuna tawala ikiyo kuu kuliko zote.. Mwanadamu ndio mtawala wa dunia hii.. Toka kuumbwa kwa mwanadamu, Mwanadamu amepewa mamlaka ya kutawala vyote vilivyopo ulimwenguni.. Lakini kwa sababu ya kukosa maarifa kama ilivyoandikwa basi mwanadamu huyu ameshindwa kutawala na amekuwa akitishwa na kuendeshwa na Majini mizimu na nguvu tofauti za giza..

Na hawa wote wanafahamu wazi kuwa mwanadamu ndio mtawala wao.. Hivyo basi wanapigana usiku na mchana kuhakikisha kuwa mwanadamu huyu hapati maarifa ya kuwatawala.. Vita hii inapiganwa kwa kuwatumia mawakala wao ambao ni wanadamu au kwa kutumia Roho chafu zinazowaingia wanadamu na kufanya uharibifu.. Wanafanya hivyo kwa sababu wana uwezo wa kuona mafanikio ya mwanadamu hata miaka hamsini mbele.. Jiulize tu.. Kwa nini mimba inashambiliwa toka kutungwa kwake (sio mimba zote) Jilize tu. Ni kwa nini mtu ambaye hajafanikiwa kwa chochote kimaisha na bado anahangaika anasumbuliwa na wachawi na nguvu za giza.. Jibu ni kuwa nyota yake imeshaonekana na tishio lake kwa ulimwengu wa giza limeshaonekana hivyo anazuiwa kabla hajakomaa..

Ulimwengu wa Roho pamoja na mizimu una nafasi kubwa sana katika maisha ya mwanadamu aliye hai.. Wanaweza kukupa mafanikio, matatizo, magonjwa balaa na hata mikosi kutegemeana na nguvu walizo nazo kwa mwanadamu pamoja na uhalali au uhusiano walionao kwa mwanadamu huyo.. Mara nyingi mizimu huwa inachagua mzaliwa wa kwanza au wa pili katika familia..

Ieleweke kuwa kila kabila lina utawala wake wa mizimu ambapo utawala huo huwa unateua kuhani wa kuongoza shughuli zao.. Ila kutokana na Mwamko wa Elimu na dini mpya zilizoingia habari za mizimu zimeendelea kupoteza nguvu na wafuasi na taratibu Elimu hii imekuwa ikipotea.. Lakini uaumbufu wa mizimu bado umeendelea kuwepo kwa kiwango kikubwa katika maisha ya wanadamu bila wanadamu wenyewe kujua..
ITAENDELEA..
 
Twende kazi.
 
Nime kuelewa mkuu lete nondo.
 
Pamoja
 
Mimi napata sana shida ya kifikra kuhusu mizimu.

Najiuliza, mizimu inapata wapi nguvu ya kutenda? Kama wanaipata toka kwa Mungu huyu wa Biblia, kwa nini Mungu huyohuyo hapendi ibada za mizimu? Rejea Hesabu 25, utaona jinsi Waizraeli walioshiriki ibada ya matambiko/sadaka za miungu huko Shitimu na Mungu aliwaadhibu vikali sana.

Ukisoma Kumb 26:14 utaona kuhusu Sala pamoja na zaka. Mtu anasema maneno kwa Mungu na katika maneno hayo anasema kuwa, "...sikutolea chochote kwa mfu. Toleo jingine linasema " sikutoa zaka hiyo kwa wafu"

Hayo pia yamesemwa katika Zaburi ya 106:28-31 ambapo Mzaburi anatubu makosa yake na ya wazee wake. Kati ya makosa anayotubu ni pamoja na wazee wake kushiriki ibada za mizimu.

Pili, naona kama mizimu ina tabia ya kulazimisha kuabudiwa/kufuatwa. Hii ni sifa isiyo ya Mungu Mtakatifu. Yeye humpa mwanadamu uhuru wa kijichagulia. Ndio maana unaona dunia ina dini nyingi sana. Kwa nini? Kwa sababu Mungu aliyempa mwanadamu utashi, anaheshimu sana freedom ya mtu, tofauti na mizimu.
 
Namchukia Sana mungu wa kwenye vitabu na kwenye fikra.
 
Kila binadamu aliyepo duniani ana watangulizi wake.. Baba, Mama, Babu, Bibi na kuendelea.. Watangulizi hawa wanaacha alama kwa kizazi chao kinachofuata.. Unaweza ukawa na sura yao, tabia zao, Jina lao na hata kufanana kwa makundi ya damu.. Watangulizi hawa wanaweza kukuachia alama ambazo huwezi kuziona kwa macho wala kufananisha.. Mfano kutembea na hata kucheka au kutabasamu..

Watangulizi hao ambao tunawaita mizimu kawaida wana uhalali mkubwa sana kwetu na wana nafasi kubwa sana katika maisha yetu hapa duniani.. Wewe uliyepo hapa duniani huna nafasi ya kuishinda mizimu ya kwenu mpaka pale utakapovunja muunganiko wako na mizimu hiyo..(hili sitaliongelea)

Binadamu anapozaliwa moja kwa moja anakuwa mali ya mizimu hiyo.. Mizimu ina uwezo wa kuzuia mafanikio yako.. Mizimu inaweza kikupa mafanikio.. Mizimu inaweza kukuchagulia kazi ya kufanya na pia inaweza kukuzuia kufanya kazi fulani.. Mizimu inaweza kukuepusha na majanga na pia kukuletea majanga.. Hii itatokana na ufahamu wako kuhusu mambo hayo..

Kutokujua habari za mizimu sio suluhisho la wewe kuokoka na nguvu za mizimu.. Naahirisha kwa kusema kuwa mizimu ipo na ina nguvu kubwa sana katika kuathiri maisha ya mtu aliye hai..

NTAENDELEA
Asee mizimu ni viumbe TOFAUTI na wanadamu , kwa mfano kuna babu yangu alikuw nao na alipofariki zilimwingilia mwingine, jaribu kutafuta elimu kuhusu mizimu,. hahaaha usigoogle watafute wazee wanaojua watakuelekeza
 
Tushirikishane mkuu.. Ninayo mengi sana.. Sijagugu..
 
Mnaotoa vifungu vya biblia mtuletee na kile cha Samuel, ambapo Sauli alienda kwa muhaguzi akasema anataka amuinulie roho ya Samuel ambaye ni marehemu. Na ile roho ilivyokuja ikawa inasema mbona unanitaabisha?, mpaangalie pia ili mjue kuwa haya mambo yapo.

Kwetu sisi wahaya huwa tuna nyumba maalum (mishonge) hii kwa kilugha zinaitwa (nyaruju), huwa zinakaa zikiwa zimefungwa milango yake.
Kwa lugha nyingine mahali zilipo panaitwa (omukikare) kiswahili inaweza kuwa imaya kizungu (empire). Hapo ukoo wote huwa unajua ndio asili yao ilipo na ndipo roho za wazee (ancestors) zilipo.

Ndani uwekwa kahawa, pombe na mikuki. Hizi huwa huwa zinahudumiwa na mtu maalum aliyeteuliwa ktk ukoo.

Kwa uelewa wangu na nilivyofuatilia huwa hizo roho za mababu na mizimu zinaishi humo na vitu hivyo vinavyowekwa huwezi vikuta tena isipokuwa mikuki.

Haya ni maisha yaliyotulea na yapo, kusema mizimu ya wazee wetu hazipo hii ni uongo Spirit zao zinaexist.

Sema dini hizi na nguvu za kimaombi now days ndio zimetufanya tutoke ktk huu mfumo wa kitamaduni wa enzi na enzi.

Lakini pia ukiamini kuwa unao hao wazee kiukweli unakuwa nao na huwezi guswa na lolote. Is all about mindset.
 
Sense ya hapa ni hii; Upagani umejengwa juu ya mizimu, kwa hilo upo sahihi
Ukija katika usahihi wa Maandiko matakatifu umizimu ni Upagani na ndo ma'ana Sauli mfalme enzi za Waezrael alimwendea yule bibi mchawi Ili amwinulie Sauli: Msimamo wa Biblia ni Huu Isaya 8 :19-20 " Je haiwapasi watu kutafuta habari kwa Mungu wao??
 
Mnaotoa vifungu vya biblia mtuletee na kile cha Samuel, ambapo Sauli alienda kwa muhaguzi akasema anataka amuinulie roho ya Samuel ambaye ni marehemu. Na ile roho ilivyokuja ikawa inasema mbona unanitaabisha?, mpaangalie pia ili mjue kuwa haya mambo yapo.

Kwetu sisi wahaya huwa tuna nyumba maalum (mishonge) hii kwa kilugha zinaitwa (nyaruju), huwa zinakaa zikiwa zimefungwa milango yake.
Kwa lugha nyingine mahali zilipo panaitwa (omukikare) kiswahili inaweza kuwa imaya kizungu (empire). Hapo ukoo wote huwa unajua ndio asili yao ilipo na ndipo roho za wazee (ancestors) zilipo.

Ndani uwekwa kahawa, pombe na mikuki. Hizi huwa huwa zinahudumiwa na mtu maalum aliyeteuliwa ktk ukoo.

Kwa uelewa wangu na nilivyofuatilia huwa hizo roho za mababu na mizimu zinaishi humo na vitu hivyo vinavyowekwa huwezi vikuta tena isipokuwa mikuki.

Haya ni maisha yaliyotulea na yapo, kusema mizimu ya wazee wetu hazipo hii ni uongo Spirit zao zinaexist.

Sema dini hizi na nguvu za kimaombi now days ndio zimetufanya tutoke ktk huu mfumo wa kitamaduni wa enzi na enzi.

Lakini pia ukiamini kuwa unao hao wazee kiukweli unakuwa nao na huwezi guswa na lolote. Is all about mindset.
Soma kitabu cha Ayubu, wafu hawana kumbukumbu lolote duniani..........watoto wake watapata taabu au hata kufanikiwa yeye hajui lolote. Hiyo inayoitwa mizimu ya mababu ni roho chafu au majini ambazo zinavaa uhusika wa wale marehemu waliotangulia ili ziabudiwe na ziwasaidie kupata mafanikio, ndo maana zinatolewa sadaka kama hizo za pombe, mazao na wakati mwingine kuna kafara za wanyama na watu.

AYUBU: MLANGO 14. 10 Lakini mwanadamu hufa, huifariki dunia; Naam, mwanadamu hutoa roho, naye yupo wapi? 11 Kama vile maji kupwa katika bahari, Na mto kupunguka na kukatika; 12 Ni vivyo mwanadamu hulala chini, asiinuke; Hata wakati wa mbingu kutokuwako tena, hawataamka, Wala kuamshwa usingizini. 21 Wanawe hufikilia heshima, wala yeye hajui; Kisha wao huaibishwa, lakini yeye hana habari zao.​
 
Back
Top Bottom