Mizinga ipungue jamani, mnatesa wanaume

Love, sijapenda hy avatar uliyoiweka πŸ˜”
Ina shida gani? Mimi ni shabiki wa Nikki kwann nisiweke picha yake?? Mbona mama Samia watu wameweka picha yake, si wanamuelewa kile anachokifanya.!! Tuma pic yako ili nikitoa hii niweke yako πŸ˜€
 
Ina shida gani? Mimi ni shabiki wa Nikki kwann nisiweke picha yake?? Mbona mama Samia watu wameweka picha yake, si wanamuelewa kile anachokifanya.!! Tuma pic yako ili nikitoa hii niweke yako πŸ˜€
Fungua pm nkutumie yangu
 
U
Siende kulee mkuu wa wilaya alakuchomoa kitandani
 
Tafuteni wanawake mnaoweza kuwatunza, kuna levels kwenye maisha. Kuna mdada ukimpa 10k anaridhika wakati kuna mwingine 200k anakuona mjinga.
 
Tafuteni hela mkuu....
Ukiwa na pesa hata kumfanyia shopping ya 1 milliin sio issue mazee....
Minaona mhawi noti tu, mengine yote ni bisingizio..🀣
Watu wanazidiana watakuja manyan'gau yenye pesa chafu mtoto anapelekwa Dubai kufanya shopping we unaachwa hapo na kimilioni Moja chako unang'aa macho huamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…