Mizinga ipungue jamani, mnatesa wanaume

Mizinga ipungue jamani, mnatesa wanaume

Love, sijapenda hy avatar uliyoiweka 😔
Ina shida gani? Mimi ni shabiki wa Nikki kwann nisiweke picha yake?? Mbona mama Samia watu wameweka picha yake, si wanamuelewa kile anachokifanya.!! Tuma pic yako ili nikitoa hii niweke yako 😀
 
U
Mimi nawashangaa sana wanaume ambao wanawekeza kwa mwanamke wakati wanawake washaweka wazi kwa maneno na vitendo kwamba kwao mapenzi ni biashara ya ukahaba, wanachotofautina kuna makahaba wa direct na makahaba wa indirect. Mwanamke anataka hela yangu mimi nataka sehemu ya kumaliza nyege zangu tunafanya exchange siku zinaenda tukichokana kila mmoja anatafuta business partner mwingine.
Siende kulee mkuu wa wilaya alakuchomoa kitandani
 
Tafuteni wanawake mnaoweza kuwatunza, kuna levels kwenye maisha. Kuna mdada ukimpa 10k anaridhika wakati kuna mwingine 200k anakuona mjinga.
 

Attachments

  • images (10).jpeg
    images (10).jpeg
    22.3 KB · Views: 2
  • images (11).jpeg
    images (11).jpeg
    21.5 KB · Views: 2
  • images (12).jpeg
    images (12).jpeg
    5.3 KB · Views: 2
Tafuteni hela mkuu....
Ukiwa na pesa hata kumfanyia shopping ya 1 milliin sio issue mazee....
Minaona mhawi noti tu, mengine yote ni bisingizio..🤣
Watu wanazidiana watakuja manyan'gau yenye pesa chafu mtoto anapelekwa Dubai kufanya shopping we unaachwa hapo na kimilioni Moja chako unang'aa macho huamini
 
Back
Top Bottom