Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Asante sana kwa kunifatilia mkuu 🙏Ndio maana una hoja za hivyo Sana humu jf.
Usisahau kulike comment zangu na kunifollow.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana kwa kunifatilia mkuu 🙏Ndio maana una hoja za hivyo Sana humu jf.
Love, sijapenda hy avatar uliyoiweka 😔Kwani dunia ni yetu sasa? Waacheni watu wahonge wafurahie wakati uliopo
1/3 au asilimia 33.3333 ni kiwango kikubwa sana kwa ajili ya kuhonga.Huyo ni mpuuzi. Sheria Iko hivi kuhonga kusizidi 1/3 ya kipato chako.
Ina shida gani? Mimi ni shabiki wa Nikki kwann nisiweke picha yake?? Mbona mama Samia watu wameweka picha yake, si wanamuelewa kile anachokifanya.!! Tuma pic yako ili nikitoa hii niweke yako 😀Love, sijapenda hy avatar uliyoiweka 😔
Fungua pm nkutumie yanguIna shida gani? Mimi ni shabiki wa Nikki kwann nisiweke picha yake?? Mbona mama Samia watu wameweka picha yake, si wanamuelewa kile anachokifanya.!! Tuma pic yako ili nikitoa hii niweke yako 😀
Mm Simo🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃Unique Flower akivutwa kupelekewa moto
Pm ilipigwa banFungua pm nkutumie yangu
Siende kulee mkuu wa wilaya alakuchomoa kitandaniMimi nawashangaa sana wanaume ambao wanawekeza kwa mwanamke wakati wanawake washaweka wazi kwa maneno na vitendo kwamba kwao mapenzi ni biashara ya ukahaba, wanachotofautina kuna makahaba wa direct na makahaba wa indirect. Mwanamke anataka hela yangu mimi nataka sehemu ya kumaliza nyege zangu tunafanya exchange siku zinaenda tukichokana kila mmoja anatafuta business partner mwingine.
Sijisikii poa ukiwa na hy avatar 😔Pm ilipigwa ban
Swali zuri!Kwani lazima?
Tuna com0licate mambo tu.Swali zuri!
Msalimie mshangazi bro, au yupo kanisani kwenye maombi 😂Hata wewe ukinipa roho yako, nakutunzia Mama 😂😂
Kwann??Sijisikii poa ukiwa na hy avatar 😔
Kwa sababu umeweka boyKwann??
Picha za wake wa Ivan Stepanov na Ivan Stepanov kwenye utambulisho wa bar yao ya mbegeUnique Flower akivutwa kupelekewa moto
PoleKwa sababu umeweka boy
Unanifanyia hvy kisa unajua vile nakupenda 😔Pole
PoleUnanifanyia hvy kisa unajua vile nakupenda 😔
Watu wanazidiana watakuja manyan'gau yenye pesa chafu mtoto anapelekwa Dubai kufanya shopping we unaachwa hapo na kimilioni Moja chako unang'aa macho huaminiTafuteni hela mkuu....
Ukiwa na pesa hata kumfanyia shopping ya 1 milliin sio issue mazee....
Minaona mhawi noti tu, mengine yote ni bisingizio..🤣